Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa ujio wa Mkutano wa Jukwaa la Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao kwa Nchi za Kusini mwa Afrika unadhihirisha namna Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia ilivyokuwa na mahusiano mazuri ambayo yamefungua milango...
Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
Ukatae au ukubali asee huu ndio ukweli. Nasema kwa sababu ya uzoefu wangu kama mfugaji wa muda mrefu.
Nimefanya tafiti kadhaa kuhusu hili na nimegundua ndivyo ilivyo.
Jogoo hupenda kutembea na majike (makoo) manene ya kuku ni nadra sana kumkuta jogoo kaambatana na kimbau mbau kisichokuwa na...
UFUGAJI WENYE TIJA
HABARINI WAKUU
#natumai mko njema kabisa _najua humu kuna watu wenye uzoefu mkubwa sana kwenye swala la ufugaji kuku (tamu na chungu
natamani sana kuanza ufugaji wa kuku ila sijui chochote kuhusu kuku (target yangu nihawa wanaita kuku wa kizungu)__yan sio wakienyeji mana hao...
KAMPUNI ya Silverlands inayoshughulika na uzalishaji wa vifaranga na chakula cha kuku imesema inaanzisha mpango mahususi utakaoishirikiana na Programu ya BBT Mifugo kuunga mkono jitihada za Mheshimwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwawezesha vijana na akinamama katika sekta ya ufugaji ili kukuza...
Kuku ni moja ya ndege wanaopatikana kwa idadi kubwa sana hapa nchini kwetu na hata duniani kote kwa ujumla,watu wengi wamekua wakifuga kuku kwa mazoea na sio kama biashara,hii imepelekea watu wengi kutokuona tija na faida katika ufugaji wa kuku.kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuku...
Msimu wa sikukuu uwe mwema kwenu!
Tangu mwaka jana niko kijijini kutafiti namna gani ufugaji na vifanananavyo vinaweza kuniongezea kipato,kwa ufupi kila nilichojaribu kimeonesha kina uashiria wa tija hapo mbeleni.
Mfano:
■ Nilinunua tetea wanne na jogoo mmoja,wamenizalishia zaidi ya kuku 60...
Kuku ni mingoni mwa wanyama wanaopendwa sana duniani kwasababu huliwa na karibu watu wote,huzaliana kwa wingi, huishi popote na hula chochote.
Kwasababu hizo kuku ndiyo ndege pekee aliyeenea kwa wingi duniani na kuliwa sana kuliko mnyama yoyote. kwa takwimu za sasa za dunia ni kuwa mahitaji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.