Habari Wakuu!
Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara
Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki ninatoa huduma zifuatazo ambazo ili kusaidia jamii kukuza uelewa na mwisho kufikia...
Karibuni kwa huduma ya ufugaji wa samaki na mbegu bora ya samaki sato na kambale.
Tunapatikana Bunju B Darajani (mingoi), njia ya kwenda bagamoyo karibuni sana.
Habari Wakuu,
Naitwa [Jina Lako], mtaalamu wa ufugaji samaki, na nimekuja kwenu na wazo la biashara ambalo linaweza kuleta mabadiliko makubwa kwenye sekta ya ufugaji samaki. Ninapendekeza kuanzisha kituo rasmi cha uzalishaji wa mbegu bora za samaki aina ya sato.
Sekta ya ufugaji samaki nchini...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 taaluma yangu ni ufugaji samaki kiwango cha elimu ni Diploma (Diploma in Aquaculture Technology)
Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye hii industry nimefanya kazi katika miradi kadhaa katika mikoa ya Pwani, Shinyanga, Mwanza na Tabora. Kwa sasa nimejikita kama...
Ni kawaida sana kuona watu wakifuga kuku, ng'ombe, mbuzi, nguruwe, n.k. Lakini ni nadra sana kuona watu wakifuga samaki licha ya kuwa mazingira yetu yanafaa sana kwa shughuli za ufugaji samaki kutokana na kuwepo kwa maeneo yenye maji ya kutosha na hali nzuri ya hewa. Baadhi ya mataifa kama China...
WADAU ZAIDI YA 3,000 KUNUFAIKA NA MIKOPO YA UFUGAJI SAMAKI
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. David Silinde amesema Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) katika mwaka huu wa fedha wa 2022/2023 inatekeleza mradi wa kutoa mikopo yenye masharti nafuu na isiyo na riba...
Habari zenu wakuu
Kwanini na amini biashara ya ufugaji samaki ni fursa nzuri kwa mtu anayetaka kuwekeza?
Ni kwa sababu kuna upungufu mkubwa wa samaki kwenye vyanzo vya asili vya maji, wakati huo huo kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu Duniani. Idadi ya watu duniani inaendelea kuongezeka...
Mheshimiwa Rais kuna UPIGAJI MKUBWA unaenda kufanyika hapa, tunakuomba uwe mkali kama Hayati Magufuli ili fedha hizi tulipwe sasa. Walikudanganya kwamba tungelipwa kufikia Septemba 15, hadi leo hii ni SARAKASI tu zinaendelea.
Mheshimiwa Rais tunakuomba ufike Mwanza na kutoa maelekezo, fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.