UTANGULIZI
Habari zenu wanajamvi, kwanza napenda kudeclare interest mimi ni mfugaji mchanga wa Bata, na nilifikia uamuzi wa kufuga bata baada ya maradhi kuwapiga kuku wangu na wakafa wote. Nimepitia threads nyingi sana za humu na sijaona special thread inayoongelea bata na bila hiyana nimemua...