Watu wengi wanatamani kufuga samaki lakini wanakosa taarifa sahihi juu ya namna bora ya kufuga samaki, moja kati ya vitu muhimu kwenye ufugaji wa samaki ni kuwa na mbegu bora ya samaki, nikisema mbegu bora ya samaki wa kufugwa nina maanisha samaki anayekuwa haraka ndani ya muda mfupi na mwenye...