Naomi Campbell azuiwa kuwa Msimamizi wa Shirika la Hisani kwa Matumizi mabaya ya Fedha
Mwanamitindo huyo amezuiwa kuwa Msimamizi wa Shirika la alilolianzisha la 'Fashion for Relief' kwa Miaka 5, baada ya kuonekana likiwa na uongozi mbovu na usimamizi wa kifedha usiofaa
Uchunguzi wa Miaka 3...
Naomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli naanza kuona Trump alikuwa sahihi kabisa kusema waafrika ni lazima tutawaliwe upya.
Bajeti ya magari ya serikali kila mwaka Bilioni 600, Hii pesa haimaanishi kuwa inanunua magari pekee na pesa ikaisha.
Hivyo kwanini Serikali iwe na utaratibu mzuri Kila Taasisi Ijinunulie Magari yake kutoka kwenye Mishahara Ya wafanya Kazi, tuone kama watanunua V8 na VX kama wanavyofanya sasa...
Ukitembea tembea huko mitaani hasa vijijini, utawahurumia sana wananchi wenzetu wanavyoishi kwenye hali duni kabisa kimaisha. Naam, namaanisha uduni wa kukosa huduma za msingi kama vile barabara nzuri, maji safi na salama, elimu bora, matibabu bora, mawasiliano ya uhakika, huduma za nishati...
Watumishi hao ni Jackson M. Ngalama ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa TALGWU SUPPORT LTD, Emmanuel G. Mdoe, Mhasibu Mkuu na Timothy P. Mashishanga, Dereva wa Kujitegemea wote wamefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu katika Mahakama ya Wilaya Ilala.
Wote kwa pamoja wameshtakiwa kwa makosa ya...
Labda kama walikua wanajipongeza kwa namna wanavyokula kulingana na Kamba zao.
Hayati Magufuli (JPM) hakuitisha cha Semina wala nini, lakini watu walichapa kazi, Pesa zilitokewa na kufika, Kwa JPM ulikua ukila Pesa yake utaitolea kwenye Tundu lolote la mwili wako. Kwa JPM watumishi wabovu...
Agosti 24, 2022 Jamhuri imeshinda katika Shauri Na. ECO. 90/2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Shauri hili lilimhusu, JULIUS K. MBISE, aliyeshtakiwa kwa makosa ya Ufujaji na Ubadhirifu, Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kuisababishia Serikali Hasara, kinyume na vifungu vya 28 (1)...
Amesema utekelezaji wa Miradi unakwama kutokana na mambo hayo matatu, akiwataka Viongozi kuacha mivutano na Siasa ziende vizuri
Amesema bado Fedha zinafujwa na kuliwa kwenye Miradi kadhaa ya Mkoa licha ya kuwepo Wakaguzi wa Ndani, akiwataka, "Wafanye kazi zao ili kuona haya madudu mapema"...
Abuu Kauthar
Jiji la Dar es Salaam hivi karibuni liliingizwa katika mgao wa maji kwa sababu ya ukame ulioikumba nchi hivi karibuni. Jambo la kushukuru ni kwamba mvua zimeanza kunyesha.Kipindi mgao ulipokuwa mkali, eneo letu Mburahati halikupata maji kabisa kwa wiki tatu. Vijana wa nyumbani...
Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.
Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo...
Vipi ndugu zangu naitaji msaada wa ushauri kutoka kwenu.
Mimi Ninafanya kazi ambayo inanilipa pesa nzuri tu dollar za Canada 1900 sawa sawa na milioni tatu na zaidi za Kitanzania.
Lakini ndugu zangu mimi nimesumbuliwa na shetani wa kusaidia watu kitu ambacho kinaniingiza katika hasara kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.