Makosa tajiri mkubwa Iringa miaka hiyo akafirisika vibaya na kuwa mnywa visungura na mtogwa analewa 24 seven. Simulizi yake ukifika Iringa utaipata vizuri zaidi maana hakosekani maeneo ya starehe.
Diamond Platnumz ameona simulizi yake mtandaon, imemgusa na ameamua kumshika mkono.
Hivyo...
wanawake fukara na masikini chanzo cha wanaume wengi kufilisika na kufa mapema na wakati mwingine chanzo cha watoto kuwaona baba zao wabaya, ewe mwanaume epuka kuongoza nao huu ni mzigo mzito siku zote za maisha yako na hakuna rangi utaacha kuona hapa duniani.
ndugu wana Jf na wasio wana Jf huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.