ufukara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini wakatoliki wanamuomba Mungu awajalie moyo wa ufukara na siyo ya utajiri kama vile Mungu alivyosema atatubariki?

    Ndugu.. Ufukara tunajua ni laana na hakuna mtu anayetaka wala kutamani kuwafukara, Mungu mwenyewe alisema atatubariki na utajiri unatoka kwake na tukimuomba atatupatia na kutujazilishia vya kutosha. Pia Yesu alisema ukiomba jambo lolote kwa jina lake atalifanya hali kadhalika tukaambiwa...
  2. Ufanyapo usafi nyumbani, usipookota hata Tsh. 100 ujuwe ufukara unapiga hodi!

    Watakiwa kuokota shs 100, 200 hata 500. Sasa waburuza fagio kwa mbwembwe na siajabu kudeki kabisa halafu huokoti chochote basi ujuwe kazi unayo! Mnasemaje wadau
  3. Mkoa wa Kagera na Ufukara

    Mkoa wa kwanza kwa ufukara ni Simiyu. Mkoa unaofuata ni Kagera (Mkoa uliotoa Maprofesa wengi nchini). Yani Simiyu tu ndio imeizidi Kagera kwa viwango vya umaskini. Ina maana hakuna uhusiano wowote kati ya SHULE na MAOKOTO? Inakuaje Wahaya wamesoma sana halafu wanaburuza mkia kwenye kusaka...
  4. Sababu ya umaskini na ufukara ni nini?

    Namna ambavyo kanisa linapaswa kuwajibu waumini ambao ni maskini na wanaoteseka kwa magumu wanayopitia. Ninachotaka kushughulikia katika makala hii ni mafundisho ya uongo yanayoenezwa na wale wanaofikiri kuwa eti wanazijua SABABU ZA UMASIKINI uliopo kati ya waumini – kati ya ndugu zao katika...
  5. Hata zikigundulika dhahabu kila mtaa na kila nyumba bado ufukara hautawaondoka Watanzania!

    Habari, Huu ndio ukweli. Ni wakati sasa Watanzania na viongozi tuache kutwakutwa kujivunia rasilimali za asili badala yake tuwaze maendeleo. Yaani rasilimali zifikiriwe au kutajwa pale tu tunapotaka kufanya jambo. Tusianze kufikiri na kuzitaja rasilimali kabla ya kufikiri maendeleo (matumizi...
  6. Umaskini na ufukara ni hatari kuliko ushoga na usagaji. Tuanze na vita ya umaskini na ufukara kisha tukatae ushoga

    Binafsi naona umaskini na ufukara mkubwa ndani ya Tanzania ndio viwe adui nambari moja kabla hatujahamishia magoli kwenye issue ya ushoga na usagaji. Leo hii mtu analala kwenye nyumba ya nyasi na udongo pamoja na kuku ndani lakini watu hawaoni ajabu kwasababu umaskini na ufukara umerasimishwa...
  7. U

    Nyerere alituuza na kuzalisha umasikini

    Habari ndugu wanajamii. Aisee kwanza Mimi Sio mtanzania ni mtanganyika. Kama Zanzibar ipo iweje Tanganyika? Je, mzanzibar ni mtanzania?? Hapa ndo utaona mwalimu Nyerere pamoja na sifa mnazompa ni batili. Huyu BABA alijenga mfumo wa nchiiii kutegemea mtu mmoja Yaani watu milioni 60 mnategemea...
  8. Ili ufukara uwaondoke Watanzania Serikali ifanye jambo hili

    Natoa ushauri huu kwa serikali, sitarudia tena maana Mimi nina kazi yangu na nina biashara zangu. Umaskini na ufukara bado ungalipo hapa nchini. Serikali sasa haina budi kujenga chuo Cha fundi kila kata au Kijiji na kupeleka walimu na vitendea kazi. Vijana wasome bure, yaani kila kijana aliye...
  9. Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

    Naombeni mtujibu Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila...
  10. Waache watoto wako katika hali nzuri (kifedha) kuliko kuwaacha katika ufukara

    Watoto wana haki ya kulishwa, kuvikwa, na kulindwa hadi wafikie utu uzima. Ni lazima watoto wawe na heshima, ili kufurahia upendo na shauku kutoka kwa wazazi wao. Watoto wana haki ya kutendewa kwa usawa, dhidi ya ndugu zao katika masuala ya zawadi za kifedha. Imam Ahmad bin Hanbal alisema...
  11. Wakala wa benki alinifanya niishi katika lindi la ufukara, sasa zamu yake

    Habari! Nitasimulia kwa ufupi kisa hiki kisichosisimua ila kinafundisha. Mwaka 2016 nilitembelewa na huyu wakala wa benki kazini. Akanishawishi nikakopa pesa kwa mara ya kwanza. Niliikopa pesa kwaajili ya kujiendeleza kielimu na nyingine nifungue biashara. Bahati mbaya sikujaza vizuri...
  12. Rasmi nimeamua kuachana na betting. Kubet ni kutafuta umasikini na ufukara

    Kwanza niseme tu mimi ni kati ya watu, waliokuwa wakiamini betting kwa asilimia 100, nilikuwa na imani betting ndio kitu itanitoa kimaisha, kuhusu betting ulikuwa huniambii kitu, kuna ile kauli watu huwa wanasema beti kama starehe, Lakini mimi nimekuwa nikiifanya kama kazi ya kujiingizia kipato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…