ufundi simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyafwili

    WanaJF, Msaada Tutani 🤔.

    Habari wanajamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Simu yangu imeleta mushkeri kidogo, najua kuna wataalam kwenye masuala ya simu. Tatizo hili nimeliona Asubuhi nilivyo amka, jana nilitumia simu mpaka mida ya Sita usiku, nilivyo itumia ikabaki asilimia 10%, hivyo ikabidi niweke...
  2. Wilhelm Johnny

    Biashara vifaa vya ufundi simu Nairobi

    Wakuu habari za masiku nilikua naomba msaada mimi ni fundi simu nilikua nimeandaa bajeti ya. Milioni 1 nataka kuboost ofisi vifaa navyotaka kuongeza NI UFI Box,Digital Power Supply na Short killer. Hiyo bajet kwa dsm naona kama haitoshi UFI Box tu kwa dsm ni 750000. Nilikua naomba kujuzwa na...
  3. Bossprota

    Mrejesho: Biashara ya Ufundi Simu

    Habari Wadau! Mimi ni kijana mtafutaji wa hali ya chini kwanza niseme jamii forums n8 sehemu iliyonifanya nipate wazo hili ambalo naweza sema lime badilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa! Mnano mwaka jana mwezi wa 9 nilifanikiwa kupata uzi hapa jf wenye ushauri juu ya biashara ya ufundi simu...
  4. Wilhelm Johnny

    Ufundi simu: Karibu tujadili UFI BOX

    Wakuu nilikuja humu kuomba ushauri kuhusu box gani nzuri ya kununua sikupata majibu katika kuulizia kwa mafundi wenzangu wakanishauri UFI box itnaweza nifaa kwa bajeti yangu na nikiangalia youtube naona kwenye swala la kurestore oppo na kuchomoa frp inafanya kazi vyema nilikua nina omba mawazo...
  5. Circuit Breaker

    Ushauri wa eneo la kufanyia biashara ya ufundi simu

    WanajamiiForums Habari za saa hizi, Nipo hapa naomba ushauri wa location ya kufungua Biashara ya Ufundi simu. Mimi nikija niliemaliza chuo mwaka huu 2021, ukiachana na tahaluma niliyosomea chuo pia nina ujuzi wa ufundi simu, kwa upande wa hardware na software. Nina mpango wa kufungua ofisi ya...
  6. Circuit Breaker

    Ushauri wa eneo la kufanyia Biashara ya Ufundi simu

    WanajamiiForums habari za saa hizi. Nipo hapa naomba ushauri wa location ya kufungua Biashara ya Ufundi simu. Mimi nikija niliemaliza chuo mwaka huu 2021, ukiachana na tahaluma niliyosomea chuo pia nina ujuzi wa ufundi simu, kwa upande wa hardware na software. Nina mpango wa kufungua ofisi ya...
  7. Moody Rutunga Jr.

    Naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu

    Habari wana jukwaa naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu especially upande wa hardware, nipo bagamoyo naomba msaada labda mtu mwenye idea nianzie wapi? Au kama kuna fundi pia wa simu upande wa hardware tunaweza kuongea zaidi. Naomba kuwasilisha.
  8. I

    Naomba ushauri: Kati ya ufundi simu na ufundi wa umeme wa magari upi unalipa?

    Kati ya ufundi simu na ufundi wa umeme wa magari upi una lipa
Back
Top Bottom