Jeshi letu la polisis kupitia askari wa usalama wa barabarani wamekua ni chanzo cha usumbufu barabarani.
Eneo la Mbezi Tangi bovu / shule kwa muda mrefu sasa nyakati za asubuhi, polisi wamekuwa wakifunga barabara(service road) kiholela bila vibao au tahadhari yoyote kwa watumiaji wa barabara...