Mwanzo mpaka Ufunuo ni sisi
Kama ambavyo nimekuwa nikisema kwamba maandiko matakatifu hususani biblia haizungumzii habari kutoka nje yetu.
Tunaambiwa kwamba imeandikwa kwa codes au mafumbo, lakini hatujawahi kuambiwa hayo mafumbo Ni yapi.
Sasa hili Ni SoMo ambalo litakuwa hewani kuanzia...
1. Ikiwa Mungu ni mmoja na hana mfano, kwa nini Qur'an inatumia wingi wa "Sisi" katika baadhi ya aya zake? (mfano, Qur'an 15:9).
2.Qur'an inasema kwamba ni mwongozo kamili (Qur'an 16:89). Kwa nini kuna haja ya Hadith kuelezea baadhi ya maelezo ya dini?
Asante
Wana JF, umofia kwenu.
Sisi ambao tumeishi kwenye kupokea imani katika umoja na utofauti wa itikadi zetu, tunaelewa uwepo wa viumbe wa kipekee ambao waliumbwa kwa upepo na moto. Baadhi ya viumbe hao waliasi na kutuletea sintifahamu kubwa kwenye mahusiano yetu na aliyetuumba (kwa imani...
KALENDA NYINGI DUNIA MOJA
1. Kalenda ya Gregorian
2. Kalenda ya Pawukon (Bali, Indonesia)
3. Kalenda ya Ethiopia
4. Kalenda ya Kiyahudi
5. Kalenda ya Kichina
6. Kalenda ya Hijira
7. Kalenda ya Kiajemi
8. Kalenda ya Kijapani
9. Kalenda ya Julian
10. Kalenda ya Buddha
11. Kalenda ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.