ufuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kashata za ufuta na bisi simple

    Hope mko poa mshamba_hachekwi aliomba nipike kashata so leo morng nikaenda mjini nikatafute mahitaj yangu nikaona ufuta nikakumbuka Wakati nanunua vitu bhna si nikakutana na wamasai wakanilazimisha kununu roshoro nikasema sijawai kunywa ah nikaona isiwe kesi nikachukua nilishindwa...
  2. A

    Ugonjwa zao la ufuta majani kujikunja na kukakamaa nitumie dawa gani

    Ufuta wangu una wiki 7 majan yanakakamaa je nipige dawa gani nimeshapga dawa ya duduba lakin hali bado haijakaa sawa
  3. H

    Msaada kilimo cha ufuta

    Habari zenu wana JF Natamani kulima ufuta Ila shida yangu ni kwamba sina utaalamu nao,. Naomba msaada kwa yeyote mwenye utaalamu wa hili zao. Asanteni
  4. Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu

    Fursa ya Kuanzisha Viwanda vya Kuchakata Mazao ya Karanga, Ufuta na Alizeti - Kata ya Likokona, Nanyumbu Serikali kupitia Kituo cha Uwekezaji (TIC) inaendelea kutangaza fursa za uanzishwaji wa viwanda vya kuchakata mazao ikiwemo mazao ya karanga, ufuta na alizeti. Haya yamebainishwa bungeni...
  5. Momba: Kila Familia/Vijana ni lazima kulima Korosho na Ufuta

    Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imetoa onyo na tahadhari kwa Vijana ambao watashindwa kulima kilimo cha korosho na ufuta kwamba watakamatwa na Serikali za Vijiji vyao na watapewa adhabu ya kwenda kulima kwenye mashamba ya wenzao waliolima ufuta na korosho, bila kulipwa chochote...
  6. N

    DOKEZO Morogoro: Mahashrey na wafanyabiashara wa ufuta wanavyoshirikiana na wafanyakazi wasio waaminifu kuhujumu mfumo wa stakabadhi ghalani

    Mkoa wa Morogoro ni mmoja wa Mkoa wenye uzalishaji mkubwa wa mazao yakiwemo mazao ya ufuta. Ni takribani miaka mitatu sasa Wizara ya Kilimo, Wizara ya Fedha na Mipango, na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekuwa zikitoa maagizo kuwa Ufuta wa Morogoro uuzwe kupitia Stakabadhi za Ghala Ili Mkulima...
  7. N

    Inatosha ndugu yangu; Mshukuru Mungu kwa yote, rudisha vitabu kwa Mkuu wa shule, chukua jembe itafute njia ya Nanjilinji ukajilimie ufuta!

    Ulitoka makao makuu yetu ya wilaya kwenda huko mbali kisiwani kwa ajili ya kujitolea na umekuwa ukijitolea kuwasaidia watoto hawa eneo hili la kisiwa lenye changamoto ya elimu na linaloogopwa na kukimbiwa na watu kila siku kwa juhudi zote tangu 2018.... Ajira za 2018 zikatoka nawe...
  8. Jinsi ya kutengeneza kashata za ufuta

    Mahitaji Ufuta kg2 Sukari 1/2 Jinsi ya kutengeneza Chukua ufuta peta na toa takataka zote Kisha tia ndani ya sufuria weka maji osha na chekecha michanga kama unavyo chekecha mchele kutoa mchanga kisha chuja maji na uanike juani ukikauka uukaange kidogo mpaka unukie na kuwa brown kisha chukua...
  9. INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  10. Rais Samia azipeleka juu Mbaazi, Choroko, Dengu, Ufuta, Alizeti, Kahawa, Karafuu. Kwani wakulima wao wanasemaje?

    RAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO, Mhe Rais baada ya kufanikiwa kuongeza bei ya Mbaazi kwa zaidi ya 3200%/kg, Pamba kwa zaidi ya 125%/kg Alizeti kwa zaidi ya 120%/kg, Sasa ni zamu ya choroko ambayo nayo kwa mfumo...
  11. T

    Kilimo cha alizeti (sunflower) sesemi (ufuta) and palm oil (michikichi)

    Habari wakuu, Nataraji mko wazima licha ya majukumu mengi ya ujenzi wa taifa. Zote tumeshudia bei ya juu sana ya mafuta ya kula, Na kwa wale hawajui mafuta ya kula inatokana na hizi bidhaa nimetaja hapo juu, alizeti, michikichi, na ufuta. Tuko na ardhi tele yenye rutuba, na yenye uwezo wa...
  12. Naomba kujuzwa bei ya ufuta

    Mambo vipi wakuu. Naomba kujua bei ya ufuta kutoka shamba inanunuliwa kwa shilingi ngapi kwa kilo nina kama gunia tano 5 Nipo Moshi Kilimanjaro, mawasiliano 0657291795
  13. Natafuta partner tufanye biashara ya zao la ufuta

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Naishi Rufiji Bungu, ni eneo linalo jishughulisha sana na shughuli za kilimo hasa mihogo, ufuta na korosho. Kipindi hiki nikipindi ambacho ufuta unavunwa kwa hiyo wakulima wanauza ufuta kwa watu wenye mitaji kwa tsh 2000/= kwa kilo Na serikali inatarajia...
  14. Wakulima wa ufuta Lindi na Mtwara waililia serikali kushuka kwa bei ya ufuta

    Anaandika Mwl Razaq Mtele Malilo. Katika misimu miwili iliyopita zao la ufuta lilinunuliwa kuanzia Tsh 2500 hadi Tsh 3000 hali iliyopelekea watu wengi kuhamasika kulima zao hili kwa wingi na vijana wengi walihamasika kurudi mjini hasa jiji la Dar Es Salaam baada ya kuvutiwa na ongezeko hilo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…