ufutwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Kozi nyingi vyuoni zina somo la ujasiriamali, utaratibu wa kuajiri walimu kwa kigezo cha vyeti pekee ufutwe, yafaa kigezo kiongezwe awe mfanyabiashara

    Na hasa ukizingatia katika wanachuo kumi wanaohitimu ni wawili tu wanaajiriwa basi ni dhahiri wengi yafaa waandaliwe na mwalimu makini kwenye suala la ujasiriamali. Kwenye kozi kibao vyuoni za sheria, uhasibu, IT, uongozi, engineering, afya, n.k. huwa kuna somo la ujasiriamali /...
  2. Suley2019

    Moise Katumbi ataka uchaguzi ufutwe. Viongozi wa Upinzani wapanga kufanya maandamano

    Uchaguzi wa urais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) unakabiliwa na mgogoro wa uhalali kutokana na wito wa upinzani wa kufuta kura kutokana na udanganyifu uliodaiwa. Wapinzani watano, ikiwa ni pamoja na aliyekuwa Gavana wa Mkoa Moise Katumbi, walisema Jumamosi kwamba kura hiyo haipaswi...
  3. R

    Mbowe: Kama serikali inayosubiri kuingia madarakani, msimamo wa CHADEMA ni kwamba Mkataba huo ufutwe wote

    Mbowe akiwa kwenye Mkutano na Waandishi wa habari akisoma maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA asema, "kwakuwa hakuna utafiti, ushahidi, wala tathmini ya kina iliyofanywa juu ya jambo hili na kwakua serikali imekosa majibu yenye ushawishi kwa umma, na kwakuwa chama tawala hawasikilizi maoni ya...
  4. peno hasegawa

    Ushauri wa bure: Utaratibu wa mwenyekiti wa chama cha siasa kuwa Rais wa nchi ufutwe

    Kwa utaratibu wa siasa za Kiafrika ninashauri haraka iwezekavyo katiba ya nchi ibadilishwe na kiongozi yeyote wa chama asiwe au asichaguliwe kuwa Rais wa nchi. Utaratibu uliopo ni ndoto nchi kupata maendeleo na ni ngumu kuondoa rushwa kwenye jamii. Kiongozi wa chama awe kiongozi wa chama ila...
  5. maganjwa

    Upinzani Tanzania Kama hauhitajiki na CCM ufutwe tu

    Wadau habari ya jioni. Mimi napata taabu sana jinsi wanavyosumbuliwa na serikali. Hakuna tume huru polisi wanasaidia kuhakikisha ccm inashinda. Haya Mambo Ni kupotezea muda na kuzeeshana bila sababu. Yaani Kwa sisi thinkers huu ni uhuni na uhalifu mkubwa. Haya Mambo siyo ya kufurahia kabisa...
  6. peno hasegawa

    Utaratibu ulioanzishwa na Serikali ya awamu ya sita wa kugawa fedha za miradi ya maendeleo kupitia majimbo ufutwe mara moja

    Kuna utaratibu uliletwa huko Tanzania fedha za miradi ya maendeleo kugawanywa na serikali kupitia majimbo mfano fedha za IMF 1.3 trilion, fedha za Tarura. Majimbo mengine yanabidadi ndogo ya wakazi, majimbo mengine yako mbele kimaendeleo kuliko mengine, na kutumia mfumu huu usimamizi wa fedha...
  7. N

    Ubunge wa Viti maalumu na wa kuteuliwa ufutwe hauna tija yoyote

    Inasikitisha sana kuona nchi masikini kama hii bado inafuja hela za umma kwa kasi ya ajabu, nchi fukara isiyojiweza Vyeo hewa vimejazana mfano hai ni wabunge wa viti maalumu na wabunge wa kuteuliwa na Rais, hawa watu hawana tija yoyote kwa Taifa zaidi ya kupewa mishahara ya bure tu, Nchi...
  8. mshale21

    Mfumo wa vyama vingi Tanzania umefeli; ufutwe CCM watawale milele

    Habarini Wanabodi! Kulingana na hali halisi inayoendelea nchini; 1) CCM hawako tayari katika suala la Katiba mpya, badala yake wako tayarI kufunga, kubambikia kesi na kunyanyasa Vyama vingine kupitia polisi 2) CCM hawataki tume huru ya uchaguzi, na badala yake kuitumia Tume Kama fimbo ya...
Back
Top Bottom