ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Marekani mfadhiri mkuu wa ugaidi duniani

    Mzungumzaji Mbali na usafirishaji wa pesa taslimu kila wiki hadi kila siku 10 wa dola milioni 40 hadi 80. Afghanistan inatawaliwa na watu wanaoitwa Sara Yudin-Hakani. Mtandao wa Hakani unamaanisha chochote kwa mtu yeyote humu ndani? Vipi kuhusu Abdulla bin Laden? Nani anapata sehemu ya pesa...
  2. Binti wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi

    Binti wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi. Mbunge wa Afrika Kusini Duduzile Zuma-Sambudla ameshutumiwa kwa kuchochea ghasia na mauaji katika ghasia za Julai 2021 zilizoua zaidi ya watu 350. Zuma-Sambulida alifika ana kwa ana mbele ya...
  3. S

    Umoja wa nchi za sahel kuwa na kikosi cha pamoja kupambana na ugaidi

    Niger, Mali na Burkina Faso ambazo zinaunda umoja wa nchi za Sahel ( AES) zinatarajia kuanzisha kikosi cha pamoja ili kupambana na magaidi. Hayo yalibainishwa na waziri wa Ulinzi wa Niger Jenerali Salifou Modi mnamo tarehe 21 Januari 2025 wakati wa mahojiano yaliyorushwa na Televisheni ya Taifa...
  4. S

    Viongozi wakuu wa is katika eneo la sahara wakamatwa

    Jeshi la Mali limethibitisha kuwakamata viongozi wakuu wa tawi la IS katika eneo la Sahara . Viongozi wa tawi hilo lijulikanalo kama Islamic State in Greater Sahala ( EIGS kwa Kifaransa)walikamatwa kufuatia operesheni ya kijeshi iliyofanyika mnamo Januari 3 2025 katika eneo la Amasarakad...
  5. Gaidi lililokua na bendera ya magaidi wa dola la kiislamu lafanya ugaidi Marekani

    Gaidi lenyewe linaitwa Shamsud-Din Jabbar limegonga watu na gari huku likiwa na bendera ya magaidi wa dola la kiislamu, na humo kwenye gari kulikua na mabomu na silaha zingine. Aisei Marekani wavune tu walichokipanda kwa kuruhusu haya mazombi yahamie huko na kuanza kuzaliana. Mimi kwa kweli hata...
  6. Wito: Rais Samia Toa Maelekezo ya Kumfukuza Anayetajwa Mwalimu na Mhamasishaji wa Ugaidi, Ili Kuokoa Tanzania ya Kesho

    Kila jambo baya lilikuwa na mwanzo mdogo, lakini wahusika hawakuushughulikia mwanzo, na baadaye wakaangamia au wakalazimika kutumia gharama kubwa kuokoa Taifa au jamii yao. Tanzania hii ya leo, pamoja na matatizo mengi tuliyo nayo, umoja wetu usiozingatia dini, kabila au eneo mtu atokalo ni...
  7. J

    Mfahamu Dk. Zakir Naik: Muhibiri aliyealikwa TZ kufanya mihadhara ya Jesus vs Muhammad anatafutwa kwa kuchochea ugaidi nchini kwake

    Dk. Zakir Naik ni mhubiri ambaye amealikwa kuja kufanya mijada ya kidini Tanzania, anatarajiwa kufanya mihadhara mitatu Mihadhara hiyo itakuwa inajadili kuhusu Mtume Muhammad na Yesu Mihadhara yake itarushwa live na Azam TV na ZBC2 Mhadhiri huyu ana asili ya India na anamiliki channel...
  8. M

    Serikali iweke wazi tuhuma zake za ugaidi dhidi ya Mbowe zilibase katika ushahidi gani!

    Mpaka hivi sasa tunavyoongea, Mwenyekiti Mbowe hajawahi kusafishwa na mahakama wala serikali wala chombo chochote nchini kuwa tuhuma za serikali kwa Mbowe kuhusu Ugaidi zilikuwa za uwongo. Sisi wananchi tunachoamini ni kuwa kesi hiyo ilikuwa ni ya mchongo, ya kubambikiza na ya uonevu. Lakini...
  9. Mali: Wanaodhaniwa kuwa waislamu wenye msimamo mkali waua zaidi ya 20

    Walizunguka Walichoma nyumba za maskini vijijini na kuua watu. Jameni muarabu alituachia laana kubwa sana Afrika, popote alipo ateseke kwa moto. ===== Suspected jihadists killed more than 20 people in a string of attacks on villages in central Mali's insurgency-hit Mopti region on Friday, two...
  10. S

    Akiri kuahidiwa kiasi cha euro 50000 ( zaidi ya milioni 124 za tz) na ufaransa ili kufanya vitendo vya ugaidi nchini Niger

    Katika hali iliyoshtua wengi, raia wa Algeria aitwaye Mohammed Amine Aissaoui mwenye umri wa miaka 35, amekiri kwamba aliahidiwa kiasi cha Euro 50000 sawa na zaidi ya Shilingi Milioni 124 za Tz ili akafanye vitendo vya ugaidi nchini Niger. Mohammed ambaye miongoni mwa raia wa Algeria...
  11. G

    Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

  12. Hivi..! Dini yetu sisi, inaushirika gani na ugaidi?

    Hamjamboni Watanzania wenzangu Siku za hivi karibuni, nimekuwa sina furaha, kila nikifungua mitandaoni, Kwenye luninga na sehemu mbali mbali za mitandao nakutana na tarifa za ugaidi zikiwa zinahusisha watu wa upande wa dini yangu tu Sasa najiuliza, haya mambo ni kweli kabisaa au kuna namna...
  13. Putin achukizwa na Ugaidi. Atangaza kuisaidia Afrika dhidi ya Magaidi

    Rais wa Urusi, Vladmir Putin ameahidi kuzisaidia Nchi Washirika wake Barani Afrika katika Sekta mbalimbali za kuleta maendeleo na amesema ataisaidia pia Afrika kupambana na ugaidi. Rais Putin ameahidi kutoa msaada kamili kwa Bara la Afrika ahadi ambayo ameitoa leo Jumapili katika mkutano kati...
  14. Sympathizers wa hamas wanapenda kujipa moyo na vimaneno kama hivi ili tu wafunike aibu ya kushindwa na kutetea ugaidi na utapeli

    "wanajeshi wa idf wanabeba maiti zao huku wakilia" JIBU: ULITAKA WACHEKE "Mitambo ya kuzuia makombora ya Israel haikufanya kazi vizuri kipindi Iran waliporusha makombora" JIBU: WEWE HAPO ULIPO KWA SHEMEJI YAKO UMEISHAUNDA MTAMBO MGANI "Israel ni mashoga" JIBU: UMEJUAJE KAMA HAKUWAHI KUFANYA...
  15. Watu kadhaa wameuawa katika shambulio la kigaidi dhidi ya Shirika la Viwanda vya Anga la Uturuki

    Pole kwa wahanga wa ugaidi huu nchini Turkey ulioacha baadhi ya watu kufariki. Several killed in a terrorist attack against Turkish Aerospace Industries (TAI) in Kahramankazan, Ankara
  16. Rais wa Congo, F. Tshisekedi, tumia mbinu za ujasusi za Netanyahu kupambana na ugaidi utafanikiwa

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada inakuja baada ya waasi wa M23 kuteka mji wa kalembe ambao ni muhimu kwao, unatoa nafasi kwao kufikia majimbo mengine kirahisi hasa yenye utajiri wa madini, kama tshobo, kivu kusini, na maniema. Alichofanya netanyahu wakati ana anza kupambana na hamas uko...
  17. Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

    Kiongozi wa kundi la Hamas Yahya Sinwar, ameuawa na Israel. Duru za habari zinatabanaisha Sinwar aliuawa mapema usiku wa leo huko Gaza. --- Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely...
  18. Je anachofanya Israel kinakuza au kuondoa Ugaidi ?

    Binafsi nachokiamini vita vya ideologia kamwe huwezi kushinda kwa Mabavu.., Hususan watu ambao wanaona kwamba wanaonewa na kunyanyaswa, kuwaondoa kwa mabavu na kuwauwa tena kwa waziwazi kunakoonekana kila kona, ni kwamba unawapa njia rahisi magaidi wa kesho au magaidi wa leo kuweza kufanya...
  19. IDF inakaribia kuandaa tangazo kwamba Iran haitaweza tena kufadhili ugaidi kwa miaka 200 ijayo

    Tangazo la IDF litakuwa rahisi tu, "Iran will no longer be able to sponsor terrorism for the next 200 years" Israel atahack mifumo ya ulinzi wa anga wa Iran na kuitumia kulipua maeneo mbalimbali ndani ya Iran. Wakati huohuo ndege vita zitashambulia vyanzo vya maji na umeme ikiwemo vile vya...
  20. M

    Baada ya Gaddafi na Saadam waliokuwa wafadhili wakuu wa ugaidi kuuawa, ni vizuri Iran isambaratishwe ili Ugaidi uishe kabisa duniani

    Kwanza tuelewe , ugaidi na uislamu ni vitu viwili tofauti. Tujikumbushe nyuma kidogo kisa cha kuuawa kwa Gadaffi wa Libya na Saadam wa Iraq , pamoja na yote wale ndio walikua wafadhili wakubwa wa makundi ya kigaidi duniani. Walitumia mabilioni mengi kufadhili makundi hayo duniani kote, Baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…