uganga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naona mtume kaanza kufanya uganga hadharani? taratibu mtanielewa, anagawa mchanga wa baraka huko Arusha.

    Wakuu kwema? Mimi nipo masomoni Gamboshi nachukua bachelor of science in uchawi wenye faida nadhani wengi wananijua hapa jukwaani. Niliwahi kuleta uzi ukielezea mambo ya mchanga na kuchotwq kiroho wengi hamkunielewa Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au...
  2. Jamaa yàngu ndàni ya wiki Mbili kanunua Bajaji Kwa Pesa za uganga wa jadi WA mchongo, wateja wakiwa waomba Ajira

    Kwema Wakuu! Nimeamini Mjini mipango. Haka kajamaa bhana kama ungebahatika kukutana nako Mwezi wa Saba mwishoni ungeelewa Kwa nini Wazazi na ndugu Zake walikakatia TAMAA. Ungeelewa Kwa nini hata Mchumba wake alimbwaga. Kajamaa kalikuwa kamejichokea haswa. Moja haisomi Mbili haikai. Sasa...
  3. Nasema ukweli kuhusu uganga

    Kuhusu kuoneshwa mbona nakumbuka sio lazima mtu apelekwe mapangoni kujifunza hayo yote,,mtu akiwa kapewa mkoba wa uganga anaanza kwa kuumwa sana tu. Kama malaria huku akiwa kwenye ndoto wale wote waliokuwa waganga wa tangulizi anawaona nakupewa masharti yakufanya ili awe mganga. Baada ya kupewa...
  4. Shahada ya Uzamili ya Uchawi kutolewa chuoni Uingereza

    Uchawi sasa hivi unaenda kuwa kitu cha kawaida sana Duniani. Kozi mbalimbali zimeanza kuanzishwa zikifundisha uchawi na uganga wa jadj. Nchi ya uingereza inaweza ikawa nchi ya kwanza ya kutoa Elimu ya juu ya uchawi. Vivyo hivyo Sahada ya Uzamili ya uchawi itakayoanza kutolewa mwaka 2024...
  5. Walokole wenzangu, kutumia mitishamba sio uganga

    Tumepewa roho na mwili, kwahiyo usiishi kiroho zaidi ukasahau kuwa una mwili, unatakiwa kubalance vitu hivi viwili. Si mara moja, si mara mbili, walokole wengi wako radhi AfE kuliko kutafuna mzizi, hao hao ukiwapa vidonge wanashukuru. Sio kwa ubora wa dawa za kizungu bali baadhi yetu wanaamini...
  6. Kuna uhusiano wowote wa uganga na hivi vitu?

    Habarini wakubwa, Kuna mzee mmoja huwa anapendelea sana kununua daftari lile lisilo na mistari (la kuchora),Marker pen nyekundu na udi. Mwanzo sikuelewa nikaamua nimuulize jamaa Fulani hivi wa hapa mtaani ,akaniambia ni Mambo ya uganga. Je,ni kweli hivyo vitu tajwa hapo juu vina uhusiano na...
  7. J

    Utata: Mtuhumiwa adaiwa kujinyonga kwa Nguo ya Ndani akiwa Kituo cha Polisi

    Nimeona heading Kwenye gazeti la Nipashe kwamba kuna kifo cha kutatanisha cha Mfugaji aliyefia Mahabusu Polisi wamedai amejinyonga kwa kutumia Chupi yake Ngoja nilisake gazeti nilete habari yote! --- MFUGAJI aliyetambulika kwa jina la Samweli Bulunde, anadaiwa kufariki dunia baada ya...
  8. M

    Mbunge Katani: Bashe na Mwigulu ni mawaziri mizigo. Wanaumiza wananchi. Amwaga machozi kwa kutukanwa kujadili uganga.

    Video hii hapa.
  9. M

    Wanaokwenda kwa waganga wana hoja, wasibezwe

    Jumatano njema! Kuna ubaya kusema kila mtu anakula anakopeleka mboga? Wapo WaRC na Walokole wengi hukimbilia kwa waganga wa kienyeji na miilini wana chale za kutosha. Wana hoja, miaka ya leo utapeli umekuwa mwingi. Mchungaji anafukuza muumini kwa uzinifu wakati mwenyewe anazini. Watu...
  10. Inakuwaje Mwigulu anawadharau na kuwaona Watanzania wajinga? Alituambia tuhamie Burundi sasa hivi anadai tujadili uganga

    Huyu mtu anadharau sana na ana tuona watanzania ni wajinga. Fikiria kipindi kile anatengeze tozo kandamizi kwa raia wasiojiweza alisema kwa dharau tuhamie burundi. Leo hii mfumuko wa bei upo juu na watu wanakula mlo mmoja yeye anadai eti tujadili uganga. Maana yeye ni mchumi pekee hapa...
  11. Usiyoyajua kuhusu uchawi na uganga

    Wengi hufikiri haya mambo ni ya kufikirika ,hasa kizazi cha leo. Nimekuwa kwenye hii field kwa miaka kadhaa nimejifunza mengi sana na nimeshuhudia mambo ya kutisha sana,siyo mimi mtarimbo Bali ni jamaa mmoja wa shinyanga alikua akitoa ushuhuda , wa jinsi alivyomtumikia shetani kama mganga wa...
  12. Naacha chuo kwa muda, naenda Sumbawanga kujifunza uganga

    Habari JF, Baaada ya maisha ya chuo kuwa magumu hapa Dar es Salaam, sasa nimeamua kupostpone masomo mpaka second semester Next Year, pia nimepostpone pesa HESLB mpaka Next Year. Ajira hakuna, so chuo ntamalizia mwakani, Ila kwa sasa naenda kujifunza uganga short course miezi 6. Babu yangu...
  13. Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

    Habari Waheshimiwa wa JF. Samahani kama nitamkwaza mtu kwa swala ninalotamani kulifahamu. Rafiki yangu wa Shuleni O Level, hata sasa nipo nae karibu ktkharakati za kupambania tonge, alifanikiwa kwenda KUHIJI Makka, miaka kama 7/8 sasa. Aliporudi, akawa na katabia ka kuwasomea watu Dua kwa...
  14. Nina amani kuwa uchawi upo; je, na uganga wa kweli bado upo?

    Habari za usiku huu wana jamvi. Kama bandiko linavyojieleza, Uchawi upo na matukio ya kichawi baadhi yetu tumekuwa tukiyashuhudia. Swali langi je, kuna uganga wa kweli katika kutibu uchawi? Au kumnyoosha anae kutendea visivyo?
  15. M

    Uganga na uchawi uliotumika miaka ya nyuma kudhibidi dhuluma na uonevu umeondoka tuombe Mungu urudi ili tudhibiti uonevu.

    Miaka ya nyuma huko Zamani za miaka ya kupata uhuru mpaka miaka tisini ukiua mtu hana hatia ilikuwa lazima uwe chizi au ufe kifo kibaya sana. Polisi alikuwa akibambikia mtu kesi lazima afukuzwe kazi au kupata ajali. Ilikuwa ukidhulumu mali ya mtu lazima ufirisike na kuwa masikini. Leo hii...
  16. Sikiliza mpaka mwisho huu ni Unabii au uganga wa kienyeji?

    sikiliza audio clips zote na kisha useme neno
  17. Hakuna wa kumfikia Kibwana Mwinyimkuu (Chili Sosi ) 'scenes' za uganga

    Hakika mwigizaji Jumanne Rajabu mwanzoni alikuwa anafahamika sana kwa jina la uchekeshaji la Chili Sosi au Chili akiwa na swahiba wake Ringo baada ya kuamua kuuvaa uhusika wa mganga wa kienyeji hakamatiki hata kidogo. Chili ameigiza filamu nyingi sana za uchekeshaji ila filamu zilizompa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…