ugavi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Logikos

    Kuelewa Matumizi / Ugavi wa Umeme ni rahisi ukifananisha na Bandwith (Matumizi ya Simu) OffPeak na Peak Times.

    Kama vile ilivyo bandwidth yaani capacity ya watu kuweza kuongea kwa wakati mmoja kwenye simu / mitandao ndio hivyo Umeme ukishauzalisha inabidi utumike, sababu kuutunza ni gharama, (Ingawa unaweza kutumia Bwawa kama Battery), kwahio nikichukulia mfano wa kama watu wanaweza kunywa maji Pipa moja...
  2. A

    KERO Watumishi kada ya Ununuzi na Ugavi wamewekewa vizingiti visivyo vya msingi hivyo kuwanyima haki zao za kupanda madaraja

    Kwanza nianze kwa kumshukuru Mh. Rais Samia kwa kuwajali kwa dhati ya moyo watumishi wote wa umma. Sio siri kwa sasa watumishi wamekuwa wakitimiziwa haki zao za msingi kwa wakati kabisa bila kigugumizi. Tumeshuhudia mara tu alipoingia madarakani aliwapandisha madaraja watumishi waliokuwa...
Back
Top Bottom