Hii ni kwa baadhi ya Shule za Msingi zinazofanya hivyo.
Hii inatisha sana kwa sababu watoto hutia huruma wakati wengine wakiwa nje na mawazo Mengi sana.
Niliwahi kufanya utafiti kidogo wa kuwauliza watoto kuwa wanafikiri ni kwa nini wazazi hawawalipii Chakula? Majibu yao yalikuwa tofauti...