Tangu awamu ya tano na sasa ya sita wageni wakubwa wa nchi wamekuwa wanapokelewa Dar na matukio makubwa yanafanyikia magogoni japo mjii mkuu ulishamishiwa Dodoma na serikali yote ikahamia huko.
Hii ni kusema kwamba Dodoma na miondombinu ya mji huo huenda bado haikidhi kupokea wageni wakubwa...