ugiriki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Trump amteua demu/girlfriend wa mtoto wake kuwa balozi wa Ugiriki.

    Rais wa Marekani anayesubiriwa kuapishiwa Donald Trump amemteua Kimberly Guilfoyle ambaye ni demu wa mtoto wake Don Junior kuwa balozi wa Marekani nchini Ugiriki. Hata hivyo girlfriend huyo wa mtoto wake atahitaji kuthibitishwa na bunge la Seneti la Marekani kuwa balozi mteule.
  2. bahati93

    Vitu walivyoshuhudia makachero wa Uajemi kwenye kambi za Ugiriki.

    Hii ni story iliyotokea enzi hizoo kabla ya Kristo, kipindi hicho superpower ni Muajemi na Mgiriki uhasama mkubwa baina yao ulileta vita vingi. Na Katika vita vyao, kuna kisa kimoja nishee nanyi, ilikuwa hivi siku moja kabla ya mtanange majenerali wa Uajemi ( Iran ya sasa) wakatuma makachero...
  3. Waufukweni

    Rais wa Yanga Eng. Hersi Said Aalikwa Mkutano wa ECA nchini Ugiriki

    Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, Eng.Hersi Said amealikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu Barani Ulaya [ECA], unaofanyika katika Mji wa Athen, Ugiriki. Hersi amepata Mwaliko huu kutoka kwa Mwenyekiti wa ECA na Rais wa PSG, Nasser Al-Khelaifi. Pia, Soma: => CAF Yapendekeza...
  4. JanguKamaJangu

    Hatimaye Anthony Martial apata timu, atua Ugiriki

    Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Anthony Martial anatarajiwa kurejea uwanjani baada ya kusajiliwa akiwa mchezaji huru katika timu ya AEK Athens inayoshiriki Ligi Kuu ya Ugiriki. Martial (28) ambaye alidumu United kwa Misimu Tisa, hakuwa na timu tangu alipoondoka klabuni hapo...
  5. Ritz

    Meli ya mafuta ya Ugiriki yakiuka marufuku ya kusafiri kwa bandari za Israel yalipuliwa.

    Wanaukumbi. Ansar Allah ya Yemen AILIPUA meli ya mafuta ya Ugiriki katika Bahari Nyekundu kwa kukiuka marufuku ya kusafiri kwenda bandari za Israel. Yemen wamesema wazii kabisa hawataki kuona Meli yeyote ikipita red sea kupeleka bidhaa zozote Israel kwa wauaji wa Watoto wa Gazza...
  6. P

    Ugiriki yahalalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja

    Ugiriki imekuwa nchi ya kwanza yenye Wakristo wengi wa Orthodox kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja. Wapenzi wa jinsia moja sasa pia wataruhusiwa kisheria kuasili watoto baada ya kura ya Alhamisi. Waziri Mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis alisema sheria hiyo mpya "itakomesha kwa nguvu...
  7. JanguKamaJangu

    Ugiriki: Watu 79 wafa majini baada ya meli kuzama

    Tofauti na idadi hiyo ya waliofariki, watu wengine zaidi ya 100 wameokolewa katika tkio hilo baada ya meli yao ya uvuvi kuzama katika Pwani ya Kusini mwa Ugiriki. Watu walionusurika wamedai kuwa abiria wengi katika meli hiyo walikuwa wahamiaji na hakukuwa na mtu aliyevaa jaketi za kuokoa...
  8. BARD AI

    Saudi Arabia, Misri na Ugiriki kushirikiana kusaka kibali cha Kombe la Dunia 2030

    Msemaji wa Wizara ya Michezo Mohammed Fawzi amethibitha kuwa nchi hizo tatu zimekubaliana kuungana ili kuomba kibali cha FIFA na mazungumzo hayo yanahusisha wasimamizi wa michezo wa nchi hizo. Misri inataka kutumia uzoefu wake wa muda mrefu katika masuala ya michezo ikiwemo kuwa mwenyeji wa...
  9. S

    Uturuki yalalamika ndege zake F-16 za kimarekani zimenyanyaswa vibaya mno na S-300 ya Ugiriki

    Ndegevita za kimarekani F-16 zinazomilikiwa na Uturuki zimenyanyaswa kijinsia na S-300 (mfumo wa ulinzi wa anga wa kisoviet/kirusi wa zamani) ya Ugiriki zilipokuwa zikiruka kwenye kisiwa cha Crete (Ugiriki). Taarifa hiyo imetolewa na Wizara ya Ulinzi ya Uturuki (mwanachama wa NATO kwa miaka...
  10. YinYang

    SI KWELI Gazeti la "The Star": Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya alihongwa ili kuipa zabuni kampuni ya Ugiriki

    Gazeti la The Star limechapisha taarifa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Kenya, Wafula Chebukati na wenzake walihongwa Dola Milioni 3 ( Takriban Tsh bilioni 7) ili kuwaba zabuni kampuni ya kigiriki kutengeneza karatasi za kupigia kura. Ukweli wake upoje?
  11. STRUGGLE MAN

    Iran yajibu malalamiko ya Ufaransa na Ujerumani kuhusu kukamata meli mbili za Ugiriki

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki. Siku ya Ijumaa Idara Kuu ya Mahusiano ya Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ilitangaza kuwa meli mbili za mafuta za Ugiriki...
  12. Sky Eclat

    Mitaa ya Curetes, Ephesus Ugiriki ilivyokua

  13. beth

    Moto wa msituni waendelea kuwaka Ugiriki, maelfu wahamishwa makazi

    Moto wa msituni unaendelea kuwaka katika Kisiwa cha Evia Nchini humo ikielezwa upepo mkali unapeleka moto huo kwenye Vijiji. Hadi sasa, watu zaidi ya 2,000 wamehamishwa kutoka Kisiwa hicho. Majanga kadhaa ya moto yameikumba Ugiriki katika siku za hivi karibuni. Taifa hilo linakabiliwa na joto...
  14. Tango73

    1976 siku kama ya leo ndege ya ufaransa yatekwa nyara athens ugiriki

    Ndege ya abilia ya ufaransa Air france ilitekwa nyara na magaidi wa kipalestina wakiongozwa na mjeruman Wilfried "Boni" Bose. na mwanamke Brigitte Kuhlmann, Ndege hiyo ilitua Benghazi na mwishowe Entebe. Subiri basi uone wiki ijayo(yaani baada ya siku sita za majadiliano) kitatokea nini...
  15. K

    Shirika la ndege la Ugiriki kushtakiwa kwa kumteka Mnyarwanda

    Mkosoaji mkuu wa Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye anazuiliwa gerezani kwa mashtaka ya ugaidi amesema ataishtaki kampuni ya ndege ya kibinafsi ya Ugiriki kwa kuongoza njama ya utekaji na kupelekwa kwake nchini Rwanda. Paul Rusesabagina - ambaye jukumu lake wakati wa mauaji ya kimbari ya Rwanda...
  16. Sam Gidori

    Ugiriki: Maelfu ya wakimbizi wameachwa bila makazi baada ya moto mkubwa kuunguza mahema

    Maelfu ya wakimbizi wameachwa bila makazi baada ya moto mkubwa kuunguza mahema katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi barani Ulaya ya Moria iliyopo katika kisiwa cha Lesbos nchini Ugiriki, kisiwa chenye uwezo wa kuhifadhi wakimbizi 3,000 lakini chenye idadi ya wakimbizi 13,000. Chanzo cha moto...
Back
Top Bottom