Mimi ni kijana ninaefanya kazi mahali fulani na muda wangu wa kazi ni usiku tu na huwa tupo wawili
Mimi na mwenzangu ambae tunabadilishana zamu.
Katika zamu yangu huwa wateja ni wengi hadi wananizidia uwezo lakini akiingia yeye anapata wateja wachache hadi boss anatamka hilo suala mbele yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.