ugomvi wa mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Kwa Wanaume: Mpenzi wako akikukosea unatumia njia gani kumaliza tofauti zenu?

    Wadau wa MMU tuongee Mahusiano Ijumaa ya leo Kuna baadhi ya Wapenzi wakikosana hupigana kama njia ya kuonesha hasira zao Lakini leo tuko na Wanaume. Kwa Mwanaume kumpiga mpenzi wake inaonesha nani ni 'kiongozi' ndani Au wengine huamini Mwanamke bila kumpiga hasikii na habadiliki Lakini...
  2. Infinite_Kiumeni

    Sababu 6 kwanini mwanamke amekuchunia na kukupotezea ghafla pamoja na suluhisho la jambo hilo

    Kwenye ulimwengu wa mahusiano kuna mtindo saivi kwamba wa kwanza kumpotezea, kumchunia au kumuacha mwenzake ndo mshindi, sio mtindo mzuri ni utoto. Kama kweli mnajaliana mtaongea na kusuluhisha tatizo lililopo ila ikitokea mwanamke amekupotezea ujue upendo wake umepungua, mwache aende zake...
Back
Top Bottom