Wakuu hii ndoa inaenda kunichosha aisee yaani mimi kila siku nikupigwa na kusemwa na mke wangu halafu ukizingatia mie ndiye natoa matumizi ya kila siku yeye mke wangu ni mama wa nyumbani yaani goal keeper tu halafu ananiletea kiburi na ujeuri kisa yeye ni mzuri na mweupe tii eti hiki ndiyo...
Nimekutana na hii Mahali mke wa mchungaji shusho anataka kupindisha sheria ya mtu mzima isiwe kwanzia miaka 18. Adai aliolewa akiwa mtoto na mume hana mchango kwenye mafanikio yake.
Jamani na kama maamuzi kwanini asiyafanye wkt ule Yuko Binti maana Kwa sasa sijui anautoto upi
Wakuu , hawa Wanawake kutoka kanda ya ziwa sio Poa kabisa aisee wanaweza kukuvunja miguu hivi hivi Kama mwanaume Ukiwa dhaifu aisee hatari Sana hawa Wanawake kutoka kanda Hii Jana nusura nivunjwe miguu na mke wangu baada kukuta Meseji kwenye simu yangu.
Mke wangu nilimuomba msamaha kwa kumpigia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.