Nyiee Nyiee Nyiee
Juzi Kamkamata tena ugoni mkewe kupitia meseji (sijajuwa ni za mgoni wa mwanzo yuleyule ama la..) na sasa kamtaliki kabisa.
MTU AKIJA KUSEMA NIMEKOSA KAZI ZA KUFANYA HADI NAFUATILIA MAISHA YA WATU, YUKO SAHIHI.
Uzi wa ugoni wa mwanzo...
Wagombea wametahadharishwa kuzingatia maadili na kujiepusha na vitendo vinavyoweza kuharibu taswira yenu kama viongozi, baada ya mmoja wao kudaiwa kufumaniwa ugoni akiwa katika harakati za kampeni.
unaweza kuchukulia poa ila ukweli ni kwamba bwana na mke wake wanaweza panga njama za kula pesa zako.
Hizi ishu zimeishafanyika sana sema tu huwa ni chini chini mtaani.
Bwana anajua unatembea na mke wake alafu na yeye akiangalia hali yake apechi alolo na pesa ya kulipa mabaunsa wakufumue choo...
Kama mtu kaingilia ndoa ya mtu akazaa na mke wa mtu,ikathibika kwa ushahidi wa mdomo, message,video na picha.
Sheria inasema Nini kuhusu hili.
Je Pana haki ya Mume ikiwemo fidia kwa mgoni.
Kama mgoni amesambaratisha familia kwa maana watoto wanaenda ishi bila malezi ya wazazi wa pande mbili,mme...
Sheria ya Ugoni inaeleza ukidakwa na mke au mume wa mtu ni kosa la madai na unaweza kulipishwa fidia kulingana na mahakama itakavyoona.
Sasa najiuliza umepata mwanamke katika mazingira ambayo hujui au hajakueleza au ameficha utambulisho wa ndoa. Wewe kosa lako ni lipi?
Mwanamke ametongozwa...
NDOA NA MATOKEO YA NDOA (TALAKA, UGONI)
Mambo ya ndoa sio mageni sana masikioni mwetu kwani wengine tupo ndoani na wengine marafiki zetu wapo ndoani na hata wazazi wetu wamekuwa ndoani. Kwa hiyo baadhi yetu ni matokeo ya ndoa za wazazi wetu na wengine tumepata matokeo ya ndoa zetu wenyewe...
Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret...
Hivi dada yako ukimfumania ugoni na jamaa mwingine tofauti na mume wake unaweza kumkamata ugoni?
Naomba mnisaidie ushauri wa haraka ili nijue cha kufanya.
Siku hiyo kidume cha mbegu nilikuwa nakula mzigo wa mke wa mtu kwake, Mumewe alikuwa Safari. Baada ya kumaliza kula mzigo mzee nikawa nimejilaza pale kitandani huku mikono yangu nikiwa nimeiweka kwenye kakitambi kangu, nikiangalia feni juu, lililokuwa linanipa upepo. Mpango ulikuwa ni kulala...
Just for experience na majuto kama yapo.
Mimi sikudakwa ila niliponea chupchup,jamaa alichelewa kama sekunde 50 hivi. Ogopa sana mwanamke mwenye gari.
Huyu dada alikuwa mchepuko kwa takribani mwaka hivi. Alikuwa huru sana muda wowote yupo available na mimi kuona hivyo nikajiongeza kwamba...
Habari zenu wana JF,
Kuna jambo ambalo limenitokea jana yaani hadi sasa nina hofu ata chakula hakiliki, ninahitaji ushauri kwenu makaka zangu na madada pia.
Kuna jamaa mmoja anaishi na mke na watoto inavyosemekana juzi usiku saa2 kuamkia jana alitoka kazini hakumkuta mke wake alielekezwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.