Kama mtu kaingilia ndoa ya mtu akazaa na mke wa mtu,ikathibika kwa ushahidi wa mdomo, message,video na picha.
Sheria inasema Nini kuhusu hili.
Je Pana haki ya Mume ikiwemo fidia kwa mgoni.
Kama mgoni amesambaratisha familia kwa maana watoto wanaenda ishi bila malezi ya wazazi wa pande mbili,mme...