Takwimu iliyotolewa na jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) ya mwaka 2024 ikiwa ni zaidi ya vifo 450. asilimia 75% ya walioathirika zaidi na ugonjwa huo ni watoto chini ya umri miaka 10.
Soma Pia: Kuna mlipuko wa ungonjwa wa Homa ya Nyani (MPox)...
Kumetokea uvumi unaosambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na uwepo wa ugonjwa hatari nchini CONGO DRC.
Ugonjwa huo unasemekana kuenea na kuambukizwa zaidi kwa njia ya ngono.
Pia inasemwa muathirika huugua kwa kipindi Cha muda mfupi sana (kati ya siku 4 Hadi wiki 2) Hadi kupoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.