Nina rafiki ambaye jana kufunguka kile alichokuwa anapitia kwenye mahusiano yake, ana mwanamke ambaye anaishi naye huu mwaka wa pili sasa ila mambo yamebadilika tangu mwezi November mwaka jana; mwanamke anaumwa magonjwa ambayo hospitali hayaonekani, anakosa hamu ya kula, kapungua uzito, hedhi...