Wakuu habari .
Nilileta Uzi kuomba ushauri na namna sahihi ya kumsaidia mke Wangu ambaye alionekana kuwa na shida ya Akili yeye Pamoja na binti yetu.
Watu walishauri nimpeleke kwenye maombi. Nilifanikiwa kutafuta watumishi wa kiroho na kumuombea sana.
Kiukweli hakuna nafuu iliyopatikana mpaka...
Ni ugonjwa ambào mtu anakuwa na hisia za Ubinafsi ndani yake, Aina hii ya ugonjwa mtu anakuwa na uhitaji mkubwa wa kusifiwa na kupongezwa katika kile anachokifanya..
Mtu mwenye ugonjwa huu huwa na hisia zilizokithiri za kujiona kuwa yeye ndio wa muhimu hivyo huhitaji kupewa umakini. Watu wenye...
Washitakiwa tisa (9) wanaotuhumiwa kuhusuka na mauaji ya kikatili ya mtoto mwenye ualbino Marehemu Noela Asimwe Novat aliyekuwa na umri wa miaka miwili na nusu mkazi wa kata ya kamachumu ya Wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamefikishwa mbele ya jaji wa mahakamani kuu ya Tanzania kwa ajili ya...
Astaghafilullhah... Hawa Wachina wana akili kweli? Wanajielewa? Mbona wana ongea kwa kujiamini hivi? Wanazijua haki za binadamu kweli? Kama wasingekuwa wameandika hivi Al Jazeera nisingeamini kabisa. Laaana kum.
===============
Abdulla* goes to bed every night dreading that knock on the door...
Tabia za kidikteta zimeanza kuwaingia viongozi wanaovaa ngozi za kondoo kumbe mioyo yao imejaa uroho wa madaraka na upunguani wa akili.
Watanzania hawakuzoea kusikia au kupitia huu upumbavu unaoendelea haya mambo aliyafanya Iddi Amin Dada miaka ya 70 kipindi anatawala Uganda kimabavu sasa Dunia...
Wanaume hatujaumbwa hivyo. Mwili wa binadamu umetengenezwa kitaalamu Sana. Kila kitu kinakuwa controlled au regulated na Ubongo
Ubongo ndo kila kitu. Kwenye ubongo kukiwa na matatizo, madhara yanaonekana kwenye viungo vya mwili.
Ukosefu wa baadhi ya madini kama magnesium, zinc, calcium...
Miaka kadhaa nyuma nilipata kuishi kwenye familia ya rafiki yangu mkazi wa Dar es salaam. Rafiki yangu huyo kwa miaka yote toka tumefahamiana alikua amenieleza ana dada yake mkubwa (kwa sasa ana miaka 40+ dada yake) mwenye matatizo ya akili. Sikua nimewahi kumuona mpaka nilipoishi kwa wiki nzima...
Serikali ya Peru imetangaza kupitisha Sheria kuwa Watu waliobadili jinsia kuwa wana changamoto ya Ugonjwa wa Akili na kuwa wanastahiki Huduma za Afya ya Akili.
Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch (HRW) limekosoa uamuzi huo wa Serikali na kueleza kuwa haioni kama watu...
Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha
Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
Umewahi kuwaza hawa watu wana ugonjwa gani??
Umeshawahi kujua wengi wanaonunua wana ugonjwa wa kuangalia Porto
I Jamaa ananunua mzigo..jmosi ananunua mzigoooo jpili anashindaa sikunzima anaangalia Porto
Hawa huwa wanajua kabisa mabinti wanataka maokoto so huwa wanajipanga kipesa na pale...
Short story: this is experience nimepata recently,
Kijana kaoa familia ambayo mama wa mwanamke ana matatizo ya akili. ndoa ilikuwa fresh sana amna shida. shida ilikuja wamepata watoto wa 3, 2 wana shida ya akili.
Wanapata convulsion (fit, degedege) za kutosha. wamefanya everything. sasa...
Chimbuko la kelele lipo kiimani na kisaikolojia.
Nashauri NEMC Pelekeni hoja Wizara ya Elimu ili watakapoboresha mitaala yao, somo la Sayansi kimu lifundishe kwa kina madhara ya uchafuzi wa mazingira ikiwemo kelele.
Tukumbuke kwamba baadhi ya viongozi wanaumwa huu ugonjwa wa kisaikolojia na...
Obsessive Compulsive Disorder (OCD) ni Ugonjwa unaomfanya Mtu kuwa na Hofu au Wasiwasi kila mara pamoja na kupatwa na Huzuni kwa muda mrefu. Mtu mwenye tatizo hili huwa na tabia za kurudiarudia vitu.
Dalili za Mtu mwenye OCD ni kuwa na mawazo ya kuogopa, kuhofia au kuhisi una ugonjwa fulani...
Kitaalamu tatizo hili hufahamika kama Ugonjwa wa Kuhodhi (Hoarding Disorder) ambao ni hali ya #AfyayaAkili ya kuhitaji sana kuhifadhi idadi kubwa ya vitu hata visivyo na thamani yoyote na kupata shida wakati wa kuviondoa.
Mtu mwenye Ugonjwa huu hutunza vitu kama Magazeti ya zamani, Bidhaa za...
Tukielekea siku ya afya ya akili duniani ambayo huadhimishwa Oktoba 10 kila mwaka, hospitali ya watu wenye ugonjwa wa akili, Mirembe imetoa takwimu ya wagonjwa inayowapokea kwa siku.
Mirembe inapokea wagonjwa 30 mpaka 70 kila siku. Inawezekana visa vingi vya mauaji/kujiua vinayotokana na...
Unajiona sio mtu mwenye umuhimu tena kwenye haya maisha na hujui nini kimekukuta au wapi ulipokosea, unatamani kulia sana na upate mtu wa kumweleza unayoyapitia, umeamua kuwa mtu wa liwalo na liwe, sikia nafahamu maumivu uliyokuwa nayo unahisi watu hawajali kuhusu unayopitia siyo kweli fahamu...
Wakuu heshima kwenu.
Naomba msaada wenu kuhusu matibabu sahihi ya ugonjwa wa akili na mahali yanapopatikana. Nina ndugu yangu alianza kusumbuliwa na ugonjwa huu tangu akiwa mdogo. Baada ya kutibiwa huku kijijini bila mafanikio alipelekwa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi. Pale Muhimbili alifanyiwa...
Ndugu zangu nataka kuuliza kitu
Hivi dawa za akili zipo kweli?
Ilikuwa mwaka 2015 kuna rafiki yangu fulani alichukuwa kitabu cha baba yake cha madawa tukawa tuna soma kitabu icho kwa bahati nzuri tukaona dawa ya akili ambayo vitu vyake vilikuwa raisi kupata. Mimi kwa kupenda kwangu kujaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.