ugonjwa wa figo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Megalodon

    Je, ni kwanini Ugonjwa wa Kansa, Figo, Ini unaonekana kuwa ni tatizo Tanzania ?

    Mpaka kufika 2023, TZ ilikuwa na wagonjwa wapya wa kansa zaid ya 50K ! Prevalence ya Figo imetoka 7% kuelekea 12, 13, na 14% last update ya 2023. Same as Ini. Je, tatizo ni nini ? Kwangu mm nitapenda kujadili point moja tu among the other factors . Hizo political fame za Janabi za kula...
  2. M

    Manyanyaso na chuki kazini zimepelekea kuugua ugonjwa wa figo

    Habari zenu watanzania wenzangu popote mlipo, mimi nikiwa member hai wa forum napenda kutoa ushuhuda wa manyanyaso kazini yalivyopelekea kuangukia kwenye ugonjwa sugu wa figo. Mimi ni mfanyakazi wa taasisi fulani serikalini, nimeajiliwa 2007, katika kupata kwangu ajila sikuwahi kufikilia kwamba...
  3. Azoge Ze Blind Baga

    Ugonjwa wa figo umesababisha nishindwe kula kimasihara. Tunzeni figo zenu

    Daaah! Ama kweli hujafa hujaumbika Nilikutwa na shida ya figo na nikapata taarifa kwamba itafika kipindi mzuka wa kula papuchi utaisha. Jana nimepata demu pisi kali nakwenda nae ghetto mgejege umegoma kutoa ushirikiano nikajua tayari CKD ishafanya yake Jamani tunzeni figo zenu maana athari...
  4. chinatown

    Naomba kuelimishwa jambo hili kuhusu afya ya figo

    Nafahamu utendaji wa figo, kuchuja uchafu na vitu vinginge vilivyo katika damu na kutoka kwenye mwili wa binadamu kwa njia ya mkojo. Na hii hufanyika mara thelathini na ushee hivi kwa masaa 24, nataka kujua hiki ambacho nime experience kwangu, mara zote nikiamka asubuhi na kwenda kupuu mkojo...
  5. BARD AI

    Matumizi makubwa ya Diclofenac, Diclopar na Mitishamba husababisha Ugonjwa wa Figo

    #AFYA: Wataalamu wa Afya wameonya kuhusu matumizi makubwa ya Dawa za Kuondoa Maumivu zikiwemo Diclopar na Diclofenac na kueleza kuwa yanasababisha madhara kwenye Figo ambapo mtu anayepata athari hizo ataishia kuhitaji huduma za Kusafishwa Damu (Dialysis). Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani na...
  6. BARD AI

    Ugonjwa wa Figo wazidi kuwatesa vijana, Hospitali zapokea wanne hadi 9 kila siku

    Ongezeko la wagonjwa wa figo nchini limeanza kujitokeza miongoni mwa vijana. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imetangaza kuwa inapokea wagonjwa wapya wanne mpaka tisa kila wiki wenye umri kati ya miaka 24 mpaka 40. Hii imeibua wasiwasi kuhusu matumizi ya pombe kali na vinywaji vya kusisimua...
  7. JamiiCheck

    SI KWELI Dhana Potofu kuhusu Ugonjwa wa Figo

    Alhamisi ya pili ya Mwezi Machi kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Figo Duniani ili kutoa ufahamu na kuelimisha umma kuhusu umuhimu wa afya ya figo na magonjwa yanayohusiana na figo. Kupitia maadhimisho haya, watu hupata fursa ya kujifunza kuhusu njia za kuzuia magonjwa ya figo, kudhibiti...
Back
Top Bottom