Goita (Goiter) ni uvimbe unaotokea kwenye tezi ya thyroid inayopatikana sehemu ya mbele ya shingo.
Tezi hii yenye umbo linalofanana na kipepeo huzalisha homoni za T4 na T3 ambazo huhusika kwenye kuratibu mifumo mbalimbali ya mwili ikiwemo joto, mihemko ya mwili, mapigo ya moyo na mmeng’enyo...