Jirani kauguliwa na mtoto kumpeleka hospitali kupima Malaria kwa kipimo cha MRDT hakuna Malaria. Kufika usiku joto limezidi. Asubuhi akadamkia hospital nyingine alipofika kamueleza doctor kashauri achukuliwe vipimo vyote.
Lakin kabla ya vipimo dokta aliombwa kama anampima malaria atumie kipimo...