ugonjwa wa marburg

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Dkt. Grace Magembe: Watu 281 waliokuwa Karantini kwa ugonjwa wa Marburg Kagera watoka Salama

    Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe amesema watu 281 wakiwemo watumishi wa afya 64 waliokuwa wametangamana na wagonjwa wa Marburg mkoani Kagera, wametoka karantini wakiwa salama. Amesema katika mipaka ikiwemo viwanja vya ndege na bandari, wasafiri 18 kati ya 417,148 waliochunguzwa...
  2. Mindyou

    Serikali yatangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa Marburg nchini

    Wakuu, Serikali kupitia Waziri wa Afya nchini imetangaza kumalizika kwa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg katika Wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera. Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Jenista Mhagama leo Machi 13, 2025 akisema mgonjwa wa mwisho aliyethibitika kuwa na virusi hivyo...
  3. Waufukweni

    Rais Samia alisema aliyegundulika na Marbug ni moja, huyu wa pili ametokea wapi?

    Siku ya Jumatatu, Januari 20, 2025 Rais Samia, alithibitisha kuwa mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera. Leo imetoka taarifa kuwa mtu mmoja kati ya wawili waliobainika na ugonjwa wa Marburg aliyekuwa akipatiwa matibabu katika...
  4. Kidagaa kimemwozea

    Mtu mmoja kati ya Wawili waliobainika kuwa na ugonjwa wa Marburg afariki Kagera

    Wizara ya afya imedhibitisha kifo cha mgonjwa mmoja wa Marburg ambaye alikuwa akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospital ya Wilaya Biharamulo. Aliyefariki ni kati ya wagonjwa wawili waliobainika kuwa na ugonjwa huo wilayani humo. Soma, Pia: Rais Samia athibitisha mmoja kugundulika na...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia athibitisha uwepo wa mgonjwa mmoja wa Marburg nchini Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=TUrJvSaBNEQ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Januari, 2025. Soma pia: Wizara ya Afya...
  6. ACT Wazalendo

    Dkt Elizabeth Sanga: Serikali ya Tanzania Ieleze Ukweli Visa vya Ugonjwa wa Marbug

    SERIKALI YA TANZANIA IELEZE UKWELI VISA VYA UGONJWA WA MARBUG ACT Wazalendo tunaitaka Wizara ya Afya ya Tanzania, kueleza ukweli kuhusu mlipuko wa ugonjwa hatari wa Marbug, na itangaze hatua za tahadhari kuzuia kuenea ugonjwa huo Mkoani Kagera. Kufuatia taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa...
  7. Influenza

    WHO: Watu nane wamefariki Kagera kwa ungojwa unahisiwa kuwa ni Marburg

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa wa Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania. Taarifa ya shirika hilo iliyochapishwa mtandaoni inasema kuwa mnamo tarehe 10 Januari 2025 ''WHO ilipokea ripoti za...
Back
Top Bottom