ugonjwa wa moyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Utafiti: Kucheka miongoni mwa tiba ya ugonjwa wa moyo

    Utafiti uliofanyika nchini Brazil umegundua kuwa kucheka kunasaidia katika matibabu ya ugonjwa wa moyo kwa asilimia 10. Utafiti huo uliofanywa na Hospitali ya Clinicas de Porto Alegre ukiongozwa na Daktari bingwa wa moyo, Profesa Marco Saffi uligundua kuwa tiba ya kucheka inaweza kusaidia...
  2. Twilumba

    TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam. Taarifa za awali zinaonesha marehemu amefia Hospitali ya Mnazi mmoja na Mwili umepelekwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili.
  3. TUKANA UONE

    Kwenye hii nchi ukiwa na Akili timamu utakufa na Ugonjwa wa Moyo.

    Wanaoishi kwa raha kwenye hii nchi ni mazezeta,wapumbavu na wajinga wasiofahamu chochote. Ukitaka uishi bila msongo kwenye hii nchi inakupasa uwe mmoja wapo wa watu wenye utindio wa ubongo,siyo kuishi vizuri tu bali pia utafaidi uzandiki na uzumbukuku wa viongozi na wasio viongozi. Mfano mzuri...
  4. Mamujay

    Matajiri punguzeni Tambo mnatuua kisaikolojia vijana

    Elon Musk Jana amenipa hasira Sana ,yani kumbe sio wakina Diamond tu ,mo nawengine wengi kumbe mpaka majuu aisee punguzeni dozi hii matajiri mtatuua na mawazo
  5. sanalii

    Kila nikimkumbuka moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?

    Shalom, Kwa sisi wasabato leo ni siku ya kwanza ya wiki, Nikirudi kwenye mada, nimemkumbuka sana mwandani wangu hadi yani nakuwa naweweseka, nikiona jina lake au text moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?
  6. N

    BREAKING NEWS: Enock Mwepu wa Brighton na Zambia hatacheza tena soka, kakutwa na Ugonjwa wa Moyo

    Habari mbaya sana maskini ya Mungu, kijana mdogo kabisa! Pimeni wachezaji jamani, wengine walisajili mchezaji mgonjwa wa Ini kwa mbwembwe kisa katoka UK na wanataka kumuacha Januari, dah! ======= BREAKING NEWS DARK DAY FOR ZAMBIA Shattered dreams, Sorry Computer Enock Mwepu has been forced to...
  7. M

    KWELI Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli alifariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki...
  8. zink

    Naomba ufafanuzi kuhusu tatizo hili la moyo

    Habari wakuu natumaini wote wazima wa afya. Kuna siku ilitokea kwa ndugu yangu mmoja hivi umri 29 years mapigo yake ya moyo yalikua yanadunda haraka sana, hali hiyo ilipelekea kwenda hospitali ya taifa ya muhimbili kwa ajiri ya vipimo na alivyofika muhimbili kitengo cha cardiac Jakaya...
  9. Spacefox

    Napata maumivu upande wa moyo, hizi ni dalili za ugonjwa gani?

    Habari za humu wataalam, kwa muda mrefu ninasumbuliwa na maumivu eneo la moyo(kifuani upande wa kushoto) yakielekea upande wa nyuma kwenye bega. Maumivu hayo sasahivi yanafika hadi shingoni.
  10. Roving Journalist

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia. Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki dunia leo majira ya saa 12...
Back
Top Bottom