ugonjwa wa selimundu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Tanzania ina wagonjwa wa Sikoseli 200,000, ambapo watu 5 mpaka 7 kati ya 100 (chini ya miaka mitano) hufariki

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imeingiza ugonjwa wa Sikoseli katika mpango mkakati wa kupambana na magonjwa yasiyoambukiza ili kuweza kupambana nao na kuhakikisha huduma za vipimo na matibabu zinapatikana katika vituo vya kutolea huduma za afya ngazi ya msingi. Hayo yamesemwa leo na Naibu...
  2. JanguKamaJangu

    Uhusiano wa Ugonjwa wa Selimundu na magonjwa ya Moyo

    SELIMUNDU (sickle cell) ni ugonjwa unaorithiwa kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine, hutokana na tatizo kwenye chembechembe nyekundu za damu. Ugonjwa huu unaendelea kuongezeka hapa nchini kutokana na wazazi wa pande zote mbili kushindwa kupima vinasaba (DNA) kabla ya kuoana au kuzaa. Ikiwa...
  3. JanguKamaJangu

    Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) unatibika

    Jamii inatakiwa kuendelea kupewa elimu juu ya ugonjwa wa Selimundu(Sickle Cell) kwa kuwa unatibika. Ripoti ya Tanzania Sickle Cell Disease Alliance (TANSCDA) iliyotolewa Desemba 2021 ulionesha kuwa Tanzania kuna jumla ya watoto 11,000 kila mwaka wanaozaliwa na Ugonjwa wa Selimundu Aidha...
  4. Roving Journalist

    Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell) unatibika

    Jamii inatakiwa kuendelea kupewa elimu juu ya ugonjwa wa Selimundu(Sickle Cell) kwa kuwa unatibika. Ripoti ya Tanzania Sickle Cell Disease Alliance (TANSCDA) iliyotolewa Desemba 2021 ulionesha kuwa Tanzania kuna jumla ya watoto 11,000 kila mwaka wanaozaliwa na Ugonjwa wa Selimundu Aidha...
  5. Lady Whistledown

    Siku ya Seli Mundu Duniani

    Juni 19 kila mwaka watu wote duniani huadhimisha siku ya ugonjwa wa Sickle Cell, unaosababishwa na mabadiliko ya chembe nyekundu za damu Kauli mbiu ya mwaka huu ni Shine The Light On Sickle Cell, ikikusudia kujengea watu uelewa na ufahamu juu ya ugonjwa huu, ikiwemo kusahihisha fikra potofu...
  6. JamiiForums

    Ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell anaemia): Dalili na matibabu yake

    Watu walio na hali hii huwa wana upungufu wa chembechembe nyekundu kwenye damu mwilini. Hivi ni kumaanisha kuwa miili yao huwa haibebi hewa ya kutosha ya oksigeni. Hali hii inaweza kuwafanya wawe wagonjwa. Kuna kitu chekundu katika damu kinachotwaa oksigeni katika hwa na kuipeleka kila...
Back
Top Bottom