Kama unadhani ugoro hutumika mdomoni na puani pekee kama sehemu ya kilevi, basi fahamu umeongezewa matumizi mengine kwa wanawake, wanautumia kukata hamu ya tendo la ndoa.
Iwapo utapewa kiburudisho hicho kwa mara ya kwanza, hakika hutothubutu kukigusa kutokana na ukali wake, lakini hivi sasa...