Mimi ni mtu najiusisha Sana na sector ya ujenzi na muda mwingi nakuwa field yaani kwenye mazingira ya kazi.
Kumekuwa na dhana ya wanasiasa kuwaambia vijana fanyeni kazi Mimi najiuliza hizo kazi zipo wapi?
Kwa siku napokea vijana wanaoomba kazi kwenye mizunguko yangu sio chini ya 3 wapya...