Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Huduma ya Usambazaji Maji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kutokana na kushindwa kutekeleza na kusimamia ipasavyo huduma ya usambazaji maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza.
Hatua hiyo imechukuliwa leo Juni...
Hellow jamii,
Kata ya Nyamhongolo Mkoa wa Mwanza Jiji la Ilemela hatuna maji wiki sasa na wakati Ziwa Victoria liko hapa hapa Mwanza, hii ni aibu.
Pia soma: MWAUWASA: Kukosekana kwa huduma Uzalishaji na Usambazaji wa Maji Mwanza imetokana na hitilafu ya umeme
Anonymous (c5ac)
Thread
kukatika majimwanza
shida ya majimwanzauhabamajimwanza