Habari wanaJf,
Kumekuwa na upungufu wa Dola ya Kimarekani baada ya kutengamaa kwa kipindi kisichozidi miezi minne, kwasasa inapanda kwa kasi na imekuwa adimu ghafla na bila kuwa na Akaunti ya Dollar, baadhi ya Benki huwezi kupata.
Wafanyabiashara wanaoagiza mizigo toka nje ya nchi wanahaha...
Kifo cha Mafuru kimeibua mambo mengi kwa kweli kwenye eneo la uchumi.
Huyu Mzee alifanya yake kwenye kipindi cha changamoto wa upatikanaji wa dola. Pumzika kwa amani
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza namna, Lawrence Mafuru, alivyoinusuru nchi na changamoto ya uhaba wa Dola ya Marekani hatua...
Serikali imesema inaendelea kuweka mikakati na mbinu mbalimbali za muda mfupi, wa kati na mrefu katika kushughulikia changamoto ya uhaba wa Fedha za Kigeni (Forex), ikiwemo kuainisha baadhi ya sekta ambazo zinaweza kuleta mapato zaidi ambayo yatatoa suluhisho la kudumu la uhaba wa fedha za...
Ndugu zangu Watanzania,
Waziri wetu wa Fedha, Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Mchumi Daraja la Kwanza nikiwa na maana kuwa alipata First Class katika shahada yake ya kwanza kutoka UDSM .Ufaulu ambao ni wa juu sana na ambao siyo lelemama kuupata hasa kutoka viunga vya UDSM.Na ndio...
Kama kawaida yangu nikiwa na mdodoza mfanyabiashra tajiri mkubwa sna hapa Dodoma Ni mzee simple sna ukimuona huweZi dhani kuwa Ana pesa.
Basi kutoka na ninayoyaona hapa ndani ya nchi hii ikabidi nimdokeze baada ya kuona mzigo wake unakariibia kukata na mzigo huu unatoka Zambia kisha kwenda...
Kila siku tunalia kuhusu kuadikika Kwa Dola licha ya juhudi za kukuza Uchumi lakini hakuna ambae anajadili jambo Hilo Kwa kuangalia sababu za msingi.
Mojawapo ya vitu vinavyosababisha kuadikika Kwa Dola Nchini no hizo hapa 👇
1. Kuwapa kazi za Ujenzi wakandarasi wa kigeni badala ya wazawa Kwa...
Serikali kupitia BoT imelegeza taratibu za maduka ya kubadilishia fedha ili kupambana na uhaba wa fedha za kigeni.
Mkurugenzi wa utafiti wa Uchumi na sera wa BoT, Lusajo Mwankemwa amesema Taifa lina akiba ya kutosha ya dola lakini sehemu ya fedha hizo hazipo kwenye sekta rasmi hivyo kuwa ngumu...
Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage uhaba wa dola. Nchi hufanyaje hivyo?
Na: Charlie Bihemo.
"Nations excluded from the 'imperial preference' trading system cannot reasonably be expected to relinquish control over the Bretton Woods institution"
Mara chache sana huwa nalazimika kushika kalamu yangu kuandika hapa, na leo ni moja ya hizo siku chache maana wakati...
Serikali ilete majibu ya pesa Tilioni 280 zimeibwa na nani?
My Take
Tukiwa na wabunge wadadisi kama Mpina Nchi itanyooka tuu.
---
MBUNGE LUHAGA MPINA ALIA NA UHABA WA DOLA
"Sekta ya fedha hapa nchini na kwa ukanda wa SADC tunategemea dola, dola hakuna na zimeadimika. Wafanyabiashara hawapati...
Kampuni ya Dangote imetangaza kupanda kwa bei ya cement kwa shillingi 885 kwa wauzaji wa jumla.Na 2000 kwa wauzaji wa rejareja Na sababu ni kuadimika kwa dola ya marekani.Kwa mwaka huu cement ilipanda julai mosi kwa ongezeko la shilingi 2000 baada ya serikali kuongeza kodi katika bajeti ya...
Umofia kwenu.
Mengi yamesemwa kuhusiana na hili sakata la upungufu wa dola nchini. Kimsingi Dola ya Marekani ndiyo inatumika kama fedha ya kununua bidhaa za kimataifa. Mojawapo ya bidhaa hizo ni pamoja na mafuta ghafi ambayo yanashikilia sehemu muhimu ya mfumuko wa bei nchini.
Nasema yapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.