Dunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.
Hata kwa upande wa Afya tujiandae.
Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10 pharmacist tutahitaji only 1, Maabara hatutohitaji yoyote kila kitu kinaenda kuwa automated and...