Hali ya upatikanaji wa mbolea kwa wakulima nchini imekuwa ikilalamikiwa kwa takribani miezi minne (4) kuanzia mwezi Agosti mwaka 2022 tangu kuanza kutumika kwa mfumo wa ruzuku kwenye mbolea. Serikali ilitangaza uamuzi wa kutoa ruzuku kwenye mbolea na pembejeo kwa wakulima kufuatiwa na msukumo wa...