Kuna vigogo wanatumia shida za wananchi kuishi kama wako peponi kupitia huduma za jamii.
Mafuta ni tatizo lingine linalosumbua maskini na kufanya waishi maisha ya juu. Kwa sasa matajiri wanazuia mafuta kushinikiza bei ipande na wanaficha makusudi kabisa. Pita leo baadhi ya vituo utaambiwa...
Katika kesi inayotarajiwa kufunguliwa na Mpina, natarajia kuona wanasheria wengi nchi hii mkijitokeza (kwa kujitolea) kumsaidia ili kuonesha uchungu ktk kuipigania haki hapa nchini.
Wanasheria acheni kujiweka nyuma, kwa kujifanya waungwana ili kutengeneza mazingira ya kutafuta teuzi.
Wenzenu...
Luhuga Mpina ameyasema hayo katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika jana tar 29 kuelekea 30, ikiwa ni mara ya kwanza kuzungumza baada ya kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya bunge.
Kusoma taarifa hiyo zaidi ingia kwenye link hii: Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge...
hussein bashe
luhaga mpina
mpina vs bashe
mpina vs spika tulia
sakata la sukari
ubadhirifu sakata la sukari
ufisadi wizara ya kilimo
uhabawasukari
ulaghai uhabawasukari
Katika mahojiano yake na mwandishi wa Habari Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi, Joseph Selaasini amesema;
"Mpina aliliona hili, sababu alikuwa akipata upinzani wakati anaongelea suala hili bungeni, sio tu kutoka kwa spika bali hata kutoka kwa wabunge wenzake. Kwa maslahi ya nchi aliona alipeleke...
Akizungumza mbele ya Maelfu ya wananchi huko Itigi, Tundu Lissu, huku akijiamini kupita kawaida, amesema kwamba, baada ya Rushwa hiyo Kabambe, Wafanyabiashara hao wakaruhusiwa kuongeza shilingi elfu 1 kwenye kila kilo na kuvuna hela haramu Bil 27 kwa kila mfanyabiashara, hela hizi zilitokana...
Kwa huu ufisadi wa mawaziri na watendaji wengine unaoendelea nchini, ningekuwa Rais ningeukomesha ndani ya siku 100 za mwanzo katika uongozi wangu. Ningetunga sheria ya ufisadi na uhujumu uchumi ambayo ufisadi unaozidi mabilion adhabu yake ni kifo.
Kwamba kesi za namna hiyo sheria itaweka wazi...
Nimeona kupitia Jambo TV Mh. Mpina akidai Waziri Bashe ametoa Kibali kwa kampuni ya simu ya Itel yenye mtaji mdogo kuagiza Sukari ya Tsh. Billion 6.6.
Hii inanikumbusha jinsi Hayati Ndesamburo alivyosema Stationary iliyopo pembeni ya hotel yake pale Mnazi mmoja ndio imejigeuza kuwa Richmond na...
Katika Mkutano wa wake na Waandishi wa Habari leo 14/6/2024, wakati akitoa uthibitisho alioambiwa aupeleke na Spika wa Bunge ndani ya siku 10, Luhaga Mpina amesema;
"Hapakuwa na usimamizi wa bei nchini kwani hata pale sukari ilipopatikana kwa bei ndogo nje ya nchi bado iliuzwa kwa kubwa hapa...
Katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari leo 14/6/2024, wakati akitoa uthibitisho alioambiwa aupeleke na Spika wa Bunge ndani ya siku 10, Luhaga Mpina amesema mananeo ya Waziri Bashe kuwa "Mfumo wote wa usambazaji ni cartel system, msambazaji mmoja tu yuko Mwanza anahudumia mikoa 11" ni uongo...
Akijibu hoja ya Luhaga Mpina kuhusu uagizaji na uingizaji wa Sukari nchini, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe hapo Jana bungeni alisema, "Sukari ni chakula cha watu masikini, ndo maana Wabunge mkienda kantini mnaulizwa, unataka Sukari?" Na huwa mnachagua asali Kwa sababu nyie si masikini.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.