uhaba wa umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    KERO TANESCO mnakata umeme kuanzia Kimara mpaka Mbezi kwa zaidi ya masaa 12 kila siku bila ya kutoa taarifa yoyote ile ya kueleweka

    Kwa takribani wiki mbili wakazi wa Kimara mpaka mbezi wanaishi pasi na umeme kila siku kwa zaidi ya masaa 12 bila ya taarifa yotote. TANESCO kila inapofika saa 4 asubuhi wanakata umeme na hurudi saa 5 Usiku. Kama kuna mgao waelezeni wananchi wafahamu kuliko huu ujinga mnaoufanya. Taarifa...
  2. Mwl Athumani Ramadhani

    Tatizo sio uhaba wa umeme nchini. Tatizo kuu ni mazoea tuliyojijengea

    Kama Taifa tumejijengea mazoea mabaya na yanatuumiza wenyewe! Mazoea ya kuwa maji ndio chanzo KIKUU cha umeme kwenye Taifa ndio yanatuumiza,ni nani alituloga!!? HIVI hapa nchini maji pekee ndio chanzo cha umeme!? Ina maana ukame ukitokea tu umeme wa kipimo na hakuna namna nyingine ya kufanya...
  3. mtungu

    Mgodi wa Kigwase Tanga kuna umasikini wa kutisha, hakuna maji wala umeme

    Ni kweli unatoa kalibu madini yote yanayochimbwa duniani; kwanini kule kuna umasikini wa kutisha hakuna maji wala umeme. Kuna mto umba ndo mtetezi wao kwa maji japo yana magadi ukibandika maharage siku mbili hayaivi. Tabu ni nyingi sana kule hakuna mawasiliano mitandao ya simu haikamati mpka...
  4. D

    Waziri wa Nishati, sema ukweli kuhusu uhaba wa umeme

    Takribani wiki moja hivi nimekuwepo huku Njombe kikazi hususan Mji wa Makambako. Nimekutana na balaa la kukatwa kwa umeme kwa kiwango cha kimataifa. Kushinda bila umeme siku nzima imekuwa kawaida kabisa. Naomba maelezo ya kina.
Back
Top Bottom