uhakiki

  1. Roving Journalist

    Wakala wa Vipimo (WMA) kufanya uhakiki wa Mita za Umeme, Maji na Mabando ya Simu

    Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando ya simu ambayo yamekuwa yakitolewa. Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa WMA, Alban Kihulla, akizungumza...
  2. Gemini AI

    TAMISEMI: Madeni ya Wazabuni wa Vyakula Mashuleni yatalipwa baada ya uhakiki

    Madeni ya jumla ya Sh21.7 bilioni ya wazabuni wa vyakula katika shule za msingi na sekondari kwa mwaka 2023/24 yamewasilishwa hazina kwa ajili kuhakikiwa na kulipwa. Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Agosti 29, 2024 na Naibu Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
  3. that-official

    Ni muda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu?

    Habari Wana jamii. Naomba kuuliza ni mda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu? Mfumo wa Sasa upo kitechnology Zaidi, mtu anaeweza kuomba cheti online kwa kutumia simu yake. Je kama taarifa sio sahihi ni namna gani wanarudisha majibu? Ni mwezi Sasa unapita toka...
  4. julaibibi

    KERO NMB uhakiki mnatutesa

    Hivi kuwaita wateja na huduma kwa wateja wenu wamezidiwa, tunaweka foleni kama kitu gani wengine wagonjwa. Kwanini isiwe madawati kila mahali hadi kwenye vituo kupunguza foleni. Foleni kubwa sana mpaka imekuwa mateso, wateja wengi hivi mtatuweka sana. Tunachoka, ntakuja kesho
  5. J

    Kinanchoitwa uhakiki wa cheti cha kuzaliwa na RITA kina maana gani?

    Nimepata mfadhaiko nilipopata taarifa kutoka kwa kijana wangu, kuhusu hitaji mojawapo la kuomba mkopo anatakiwa awe na hitibati ya uhakiki wa cheti chake chakuzaliwa, sasa inakuwaje cheti ambacho kimetolewa na hao RIta wanataka tena kihakikiwe kwa gharama ya 6000? kwanini kuwe na cheti...
  6. C

    Msaada: Kuhusu kufanya uhakiki wa ardhi

    Habarini wakuu! Hivi nawezaje kuhakiki uhalali/umiliki wa ardhi (Surveyed plot yenye registration plan number) pasipo kufika kwenye ofisi husika? Na ni ofisi gani natakiwa kuanza nayo; Manispaa au Wizarani? Kuna mfumo wowote wa kuhakiki mtandaoni? Thanks in advance..
  7. Cute Wife

    Kampuni za simu, uhakiki taarifa za mteja usiishie kwenye jina na muamala wa mwisho pekee, wateja wanalizwa huku

    Wakuu, kuna text niliona inasambazwa huko duniani, jinsi wezi wanavoweza kuhamisha pesa kutoka kutoka Mpesa, TiGO pesa, na walet nyingine. Ukiibiwa simu ukiwa hauitumii ndani ya muda huo (yaani iko locked) utakuwa na muda kidogo kabla kaka jambazi hajafanya lake. Ukiibiwa simu ikiwa unaitumia...
  8. M

    KWELI Kuchelewa kulala mara kwa mara huongeza hatari kupoteza maisha mapema

    Ninaomba kufanyiwa uhakiki wa taarifa kuwa 'Watu wanaochelewa kulala wapo hatarini kupoteza maisha mapema'
  9. JamiiCheck

    Aprili 2: Siku ya Kimataifa ya Uhakiki wa Taarifa

    Aprili 2 kila mwaka huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Uhakiki wa Taarifa ili kuongeza uelewa na umuhimu wa kuhakiki na kuthibitisha ukweli katika taarifa zetu za kila siku. Katika ulimwengu uliojaa taarifa za haraka na mara nyingi zenye utata, uhakiki unakuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali...
  10. JamiiCheck

    Uhakiki wa taarifa ni silaha muhimu ya kupambana na taarifa potofu

    Kuhakiki taarifa ni Silaha ya msingi katika kupambana na Usambaaji wa taarifa Potofu ndani na nje ya Mitandao Jamii inapojenga tabia ya kufanya uhakiki wa kila taarifa inayokutana nayo, itawawezesha kufanya Maamuzi Sahihi katika masuala mbalimbali yanatokea katika Jamii husika Je, wewe ni...
  11. JamiiCheck

    Hatua za kufuata unapofanya uhakiki wa Picha kwa kutumia Yandex

    Yandex ni njia nyingine ya utafutaji inayotumika sana kufanya uhakiki wa picha. JamiiCheck imekuandalia utaratibu wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kutumia Nyenzo hii kufanya uhakiki wa picha. 1. Fungua Kivinjari Chako Anza kwa kufungua kivinjari chako kwenye kifaa chako cha mkononi au kompyuta...
  12. JamiiCheck

    Kufanya uhakiki wa taarifa hukuepusha na utapeli wa mitandaoni

    Uhakiki wa taarifa ni mchakato wa makusudi wa kufanya tathmini ya taarifa ili kujua chanzo au uhalisia wake. Katika ulimwengu wa leo, takwimu za Global Media Statistics zinaeleza kuwa zaidi ya 62.3% ya watu duniani wanatumia mitandao ya kijamii, ambayo inafanya kuwa jukwaa kubwa la usambazaji...
  13. JamiiCheck

    Jambo gani la kijamii umekuwa ukilisikia, bila kupata majibu JamiiCheck ilifanyie uhakiki?

    Jukwaa la Jamiicheck lipo mahsusi kwa ajili ya kufanya uhakiki wa taarifa ili kujua kama ni kweli, uzushi au nadharia. Hukuwezesha raia kufanya uhakiki kwa kuweka maudhui ndani ya jukwaa yanayotakiwa kuhakikiwa na kutoa mchango wa kuhakiki taarifa hizo kwa kile wanachokifahamu. Je, ungependa...
  14. Stephano Mgendanyi

    Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang

    Taarifa za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi Zasaidia Zoezi la Uhakiki wa Waathirika wa Maafa Hanang SERIKALI imetumia taarifa za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022 kuthibitisha taarifa za makazi na kaya katika maeneo yaliyoathirika na maafa ya Maporomoko ya tope na...
  15. JamiiCheck

    Je, wajua uhakiki wa taarifa huchochea uwajibikaji?

    Uhakiki wa Taarifa hudumisha uwazi, kujenga imani kwa jamii, kukomesha upotoshaji pia kuwepo kwa taarifa sahihi katika jamii itaifanya jamii iweze kufanya maamuzi sahihi kwenye jambo sahihi. Kuchochea uwajibikaji- Uhakiki wa taarifa utachochea makundi mengi kuwajibika kwani watakosa fursa ya...
  16. Astro world

    Kukwama kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA

    Habari zenu wakuu, Naombeni msaada kwenye kutuma maombi ya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa RITA. Pale kwenye kipengele cha kukituma cheti inagoma kabisa ku attach file yani kila ni ki click pale kwenye ku choose file haiendi popote inabaki pale pale na mtandao uko vizuri kabisa hauna shida...
  17. Da Gladiator

    Msaada: Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa kwenye Mfumo wa RITA, 2023/24

    Salaam Wadau wa Elimu, Naomba msaada, nataka nihakiki cheti cha ndugu yangu Ila kila nikiLog In kwenye mfumo mfumo unaandika 'An error occur' shida nini jamani? Nipeni mbinu Please.
  18. Alex Dennie

    Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa RITA

    Habari zenu wakuu, nataka kuhakiki cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo (HESLB) kwenye mfumo wa online eRITA. Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini, naomba msasa tafadhali
  19. S

    Je, kuna changamoto kwenye kupatikana kwa mtandao wa ardhi kwenye uhakiki wa hati za kidigitali?

    Wadau, kwa kama miezi miwili sasa nikijaribu ku scan barcode ya hati yangu iliyotolewa na ardhi inagoma kuniletea taarifa za hati. Je, ni kuwa website ya verification ya documents ya ardhi kweli ina matatizo au wajanja washachakachua? Mwaka jana nilikuwa niki-scan inaniletea copy ya hati husika.
  20. BARD AI

    Uhakiki wa Vyeti vya Chuo na Leseni za Udereva wa Malori, Mabasi na Taxi mwisho Aprili 30, 2023

    Kamishna Msaidizi wa Polisi Michael Deleli ambae pia ni Mkuu wa Dawati la Elimu ya Usalama Barabarani amesema ukaguzi huo utahusisha Madereva wenye madaraja C na E ambao wanaendesha Mabasi ya Abiria, Taxi na Magari ya Mizigo. Kwa mujibu wa Kamishna Deleli, zoezi hilo linafanywa Nchini kote...
Back
Top Bottom