Habari wadau poleni na utekelezaji wa majukumu ya Kila siku katika harakati za kulijenga taifa
Kero yangu ya leo inatoka kwa mamlaka inayohusika na usajili wa vizazi na vifo Tanzania RITA
RITA wamekuwa Wana makosa yake Yale Kila mwaka yanayojirudia na hivyo kukwamisha baadhi ya watu kupata Haki...