Kitambulisho cha kupigia kura kina changamoto kidoogo. Jina lilikosewa herufi Moja tu. Now Nipo nafuatilia mafao yangu ya NSSF. Kukosewa huku kwa jina kunaweza kuleta changamoto kubwa sana na pengine nikashindwa kupata mafao.
So, nahitaji kukutana na hawa wahakiki wa daftari la wapiga kura Ili...