uhakiki wa picha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiCheck

    Picha ya eneo moja inaweza kutumika kupotosha Uhalisia wa eneo lingine. Thibitisha kwanza kupata Ukweli kabla ya kusambazia wengine

    Ni muhimu kuthibitisha kila picha unazokutana nazo mtandaoni zikihusishwa na matukio tofautitofauti ili kupata uhalisia kabla ya kuendelea kuwasambazia wengine. Kumbuka unapofanya uhakiki wa maudhui mbalimbali unawalinda watu wengi dhidi ya upotoshaji unaosambaa ndani na nje ya mtandao.
  2. JamiiCheck

    Hatua za kufuata unapofanya uhakiki wa Picha kwa kutumia TinEye

    TinEye ni nyenzo nzuri ya kutafuta picha kwenye wavuti ambayo inaweza kutumiwa kufanya uhakiki wa Picha. JamiiCheck imekuandalia utaratibu wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kutumia Nyenzo hii kufanya uhakiki wa picha. 1. Fungua Kivinjari Chako Anza kwa kufungua kivinjari chako kwenye kifaa chako...
  3. JamiiCheck

    Hatua za kufuata unapofanya uhakiki wa Picha kwa kutumia Yandex

    Yandex ni njia nyingine ya utafutaji inayotumika sana kufanya uhakiki wa picha. JamiiCheck imekuandalia utaratibu wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kutumia Nyenzo hii kufanya uhakiki wa picha. 1. Fungua Kivinjari Chako Anza kwa kufungua kivinjari chako kwenye kifaa chako cha mkononi au kompyuta...
  4. JamiiCheck

    Hatua za kufuata unapofanya uhakiki wa Picha kwa kutumia Google Image Search

    Uhakiki wa Picha kwa kutumia Google Image Search ni njia muhimu ya kubaini asili au maelezo zaidi kuhusu picha fulani. JamiiCheck imekuandalia utaratibu wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kutumia Nyenzo hii kufanya uhakiki wa picha 1. Tembelea Google Image Search Fungua kivinjari chako na nenda...
Back
Top Bottom