Yandex ni njia nyingine ya utafutaji inayotumika sana kufanya uhakiki wa picha.
JamiiCheck imekuandalia utaratibu wa hatua kwa hatua wa jinsi ya kutumia Nyenzo hii kufanya uhakiki wa picha.
1. Fungua Kivinjari Chako
Anza kwa kufungua kivinjari chako kwenye kifaa chako cha mkononi au kompyuta...