Ni muhimu kuthibitisha kila picha unazokutana nazo mtandaoni zikihusishwa na matukio tofautitofauti ili kupata uhalisia kabla ya kuendelea kuwasambazia wengine.
Kumbuka unapofanya uhakiki wa maudhui mbalimbali unawalinda watu wengi dhidi ya upotoshaji unaosambaa ndani na nje ya mtandao.
Maudhui yanayotengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya Akili Mnemba yanaweza kutumiwa kupotosha Uhalisia hivyo ni muhimu kujifunza namna ya kutofautisha maudhui yaliyotengenezwa kwa teknolojia hiyo dhidi ya uhalisia ili kuepuka upotoshaji.
Majukwaa ya Uhakiki wa Taarifa kama JamiiCheck.com...
CEO wa Meta Mark Zuckerberg ametangaza kusitisha mfumo wa uliopo wa kuhakiki taarifa kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na Threads ambapo kampuni hiyo sasa itaanza kutumia mfumo wa Community Notes kama ule unaotumika X
Aidha Zuckerberg alitangaza mabadiliko makubwa katika sera za usimamizi...
Wanaofanya Upotoshaji huwa wana lengo walilokusudia kulitimiza hivyo hawaachi wala kuchoka kufanya Upotoshaji wa Taarifa.
Ili kujikinga dhidi ya Upotoshaji, ni muhimu kufanya Uhakiki wa kila Taarifa unayokutana nayo.
Uhakiki wa taarifa ni mchakato unaohusisha hatua mbalimbali zinazokuwezesha kujua uhalisia wa taarifa au jambo husika.
Ni changamoto gani unazokutana nazo unapohakiki taarifa kutoka mtandaoni na hata nje ya mtandao?
Julai 26, 2024, JamiiForums ikishirikiana na The Collaboration on International ICT Policy for East and Southern Africa (CIPESA) iliendesha Mafunzo ya Uhakiki wa Taarifa kwa Wadau wa Tasnia ya Habari kama sehemu ya kuwajengea uwezo katika kutekeleza majukumu yao.
Washiriki walifundishwa athari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.