uhakiki wa vyeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. that-official

    Ni muda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu?

    Habari Wana jamii. Naomba kuuliza ni mda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu? Mfumo wa Sasa upo kitechnology Zaidi, mtu anaeweza kuomba cheti online kwa kutumia simu yake. Je kama taarifa sio sahihi ni namna gani wanarudisha majibu? Ni mwezi Sasa unapita toka...
  2. Nguva Jike

    Uhakiki wa vyeti 2016 waleta kilio ajira ya 2009

    Habari za muda huu. Watumishi walioajiriwa 2009 wamesahaulika katika taratibu za upandishwaji vyeo.Hebu angalia mfululizo huu wa upandaji katika vyeo kwa kada ya ualimu. Mtumishi kaajiriwa 2009.Mara ya kwanza anapanda daraja 2013.Mara ya pili anapanda daraja 2019 imepita miaka 6.Mara ya tatu...
  3. CyberTz

    KERO Tatizo katika uhakiki wa vyeti kwa wanafunzi wanaoomba Mkopo na huduma za RITA kwa ujumla

    Habari wanajukwaa. Kuna changamoto tunapitia katika uhakiki wavyeti vya kuzaliwa kupitia RITA. Wengi tupo katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya juu lakini kikwazo kimekuwa kwa RITA. Mimi binafsi nina wiki ya 2 sasa kuelekea ya 3 cheti hakijahakikiwa na nimeshalipia. Mbaya zaidi hata...
  4. Da Gladiator

    Msaada: Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa kwenye Mfumo wa RITA, 2023/24

    Salaam Wadau wa Elimu, Naomba msaada, nataka nihakiki cheti cha ndugu yangu Ila kila nikiLog In kwenye mfumo mfumo unaandika 'An error occur' shida nini jamani? Nipeni mbinu Please.
  5. Alex Dennie

    Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa RITA

    Habari zenu wakuu, nataka kuhakiki cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo (HESLB) kwenye mfumo wa online eRITA. Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini, naomba msasa tafadhali
  6. D

    Utaratibu wa uhakiki vyeti (Vetting) Tanzania ni wa ovyo sana! Unapotezea watu muda pasipo sababu

    Kusema ukweli! Nimefuatilia nimegundua tuko nyuma sana kiakili pamoja na teknolojia! Kwa karne hii sikutegemea uhakiki wa vyeti vya masomo kwa watu (Vetting) uwe kizamani namna hii! Popote ukiomba ajira au panapohitaji uhakiki wa vyeti Tanzania bado tunatumia mbinu ya kizamani sana! Mfano...
Back
Top Bottom