uhalali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Hakuna chochote nacho admire kwa hawa wanaojiita manabii na utapeli wao ila kwa namna walivyo badirisha ulaghai wao kuwa uhalali, should be studied.

    Kwa miaka miaka 2000 tangu Yesu Kristo arudi mbiguni hapakutokea mtu aliejiita chief prophet hadi ilipofika miaka 2010 ghafla kila mtu akaanza kujiita hivyo. So nimegundua hawa watu are businessmen na hivyo ndivyo wanavyouza bidhaa zao. Kama vile utakavyo ifanyia market bidhaa yako kuwa bora...
  2. Harvey Specter

    Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la kibali cha kupeleka maombi ya kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kuendelea kubaki madarakani

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango kuendelea kubakia madarakani kufuatia taarifa za kuwasilisha barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo...
  3. S

    DOKEZO Kuna kijiji wilaya ya Magu wageni wanaoingia kuishi kama wapangaji kulipa fedha za kiingilio kiasi cha shilingi 36,000 ndipo usajiliwe

    Habari JamiiForums. Naomba msaada, mimi ni mgeni katika kijiji fulani, wilayani Magu Mkoa wa Mwanza. Katika kijiji hiki kuna utaratibu kwa wageni wanaoingia kuishi kama wapangaji kulipa fedha za kiingilio kiasi cha shilingi elfu 36 ndipo usajiliwe ama ujiunge kama mwananzengo na utambulike...
  4. Father of All

    Kwanini Yesu na Muhammad walipokufa waliacha vurugu? Nini uhalali wa utukufu na mantiki ya dini na matokeo ya vifo vyao?

    Si lengo langu kukufuru au kuzodoa bali kutaka kujua. Ukiangalia namna walivyokufa au kilichotokea baada ya vifo vyao, unatia shaka uhalali wa dini za kimapokea. Yesu kifo cha kikatili cha kutundikwa na kufia msalabani Wakati Muhammad, inadaiwa alikufa tokana na kupewa sumu Ukiachana na vifo...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    CCM pelekeni Mwenge Mozambique ukalete amani. Kama Mwenge ukishindwa kupeleka amani Msumbiji, upoteze uhalali wa kukimbizwa nchini

    Mwenge wa uhuru tunaambiwa kwamba unaleta amani pasipo na amani, unaleta tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki. Tanzania tumekuwa tukitumia mabilioni ya fedha za walipa Kodi kugharamia mbio za Mwenge nchi nzima. Kwa kuwa Mozambique ni ndugu zetu wa damu, ni wakati sasa wa serikali ya...
  6. A

    Ukichunguza kwa jicho la ndani utagundua ya kwamba matumizi ya ruzuku ndani ya CHADEMA tangu zamani yana harufu ya ufisadi

    Haya mambo yalianza muda mrefu sana. Hapa chini ni sehemu ya taarifa kutoka waraka uliowahi kuandikwa na Makamu Mwenyekiti aliyewahi kuhudumu ndani ya CHADEMA baada ya kuonja sumu. Taarifa hii inasema kuwa, "Kati ya Januari 1 na Juni, 30, 2008, Tshs. 350,000,000/= zilitumika Makao Makuu ya...
  7. Waufukweni

    Prof. Issa Shivji: Serikali inapokosa uhalali kwa watu wake inaanza kutumia mabavu

    Mwanasheria na Profesa mkongwe kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Issa Shivji, alitoa onyo kwa serikali wakati wa Kongamano la Kitaifa la Ardhi 2024 na Maadhimisho ya Miaka 30 ya Hakiardhi, yaliyofanyika Jumanne, Oktoba 29, 2024. Akihutubia washiriki, Prof. Shivji alisisitiza umuhimu wa...
  8. Waufukweni

    LGE2024 Simiyu: Mch. Msigwa adai CHADEMA hawana uhalali wa kumkosoa Rais Samia

    Mchungaji Peter Msigwa ametema cheche katika mkutano uliofanyika Simiyu, akitoa kauli kali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amesema kuwa CHADEMA hakina uhalali wa kukikosoa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani chama hicho kimekosa uhai na timu yake imeonekana kuchoka. Msigwa...
  9. Hismastersvoice

    Mkurugenzi mkuu wa TRC, Masanja Kadogosa amegoma kuja JF atufafanulie uhalali wa makatazo wanayofanyiwa wasafiri wa SGR

    Wasafiri wanaotumia treni ya SGR ya TRC wamekumbana na makatazo ya vitu ambavyo ni haki yao kutembea navyo, mfano maji ya kunywa na mfuko unaohalalishwa na Serikali! Tumejitahidi kumuita aje atupe ufafanuzi wa madhara ambayo TRC imeyaona ikiruhusu abiria waingie navyo kwenye treni yao tofauti na...
  10. L

    Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  11. Mwizukulu mgikuru

    Ben saanane alihoji uhalali wa PhD ya magufuri, akapotezwa mazima

    Ilikuwa ni kitu cha ajabu sana, Mimi mbona juzi wamenihoji kuhusu cheti changu cha kuzaliwa kuwa tofauti Na vyeti vyenye taaluma zangu , yaani kuongezeka jina moja tu kwenye vyeti vya taaluma ikawa nongwa...
  12. kimsboy

    Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
  13. Carlos The Jackal

    Spika Tulia, Kanuni zako haziondoi Uhalali wa shahidi za Ushahidi wa Mpina dhidi ya uongo wa Waziri Bashe !!.

    Katika kosa kubwa ulolifanya siku ya Leo 18/6/2024, ni ku Overlook nini hasa kiini kilicholifikisha Taifa hili Mahali hapa . Umetumia muda mwingi sana Toka tarehe 14/6/2024, kutafuta ni wapi na kanuni gani Mpina kavunja !!. Kwa Namna ulivyowasilisha suala hili la MPINA, umetumia Muda mwingi...
  14. Gilbert Prudence

    Uhalali wa mashindano katika mitandao ya kijamii

    "Niliwahi kuandika sikushinda na baadae nikaona wametumia mawazo yangu kubuni mambo Yao na Mimi sikufaidika na chochote". Je kuna ukweli wowote? Huyo ni mdau alikuwa anatoa comment katika ukurasa wa jamii forum kuhusu ushiriki wa stories of change.
  15. S

    Tundu Lissu ahoji uhalali wa kikatiba wa jina jipya la Tume Huru ya Uchaguzi

    Ameandika hivi kupitia mtandao wa X: Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai...
  16. S

    Kanuni za CAF zinatoa unfair competition, hivyo sioni uhalali wa kulnganisha timu mbalimbali za hapa Afrika

    Kanuni za CAF zinaItumika katika michezo mbalimbali inayosimamiwa na CAF, huwa naziina haziko fair na hivyo zinaondia uhalali wa kuziweka timu katika mizani moja. Mbali na Kanuni mbalimbali zilizopo, kilichonisukuma zaidi kuandika huu uzi ni baada ya leo kuelezwa kuwa timu ambazo ni mabingwa...
  17. MIXOLOGIST

    Kuna Uhalali au ulazima kwa kampuni za simu kutoa namba za simu za mtumba (zilizotumika na watu wengine walio hai au kufa)?

    Wasalaam wana JF Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA? Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye...
  18. C

    Hussein Massanza, msemaji wa Singida Fountain Gate FC umepata wapi uhalali wa kuropoka hili?

    "Hakuna klabu ya ligi kuu ya Tanzania isiyokuwa na madeni hivyo watuige sisi Singida Fountain Gate FC ambao huwa hatufichi na wala hatuoni aibu kusema kuwa tuna madeni lukuki" amesema Hussein Massanza msemaji wa Singida Fountain Gate fc Taarifa: sports headquarters ya Efm radio hivi punde tu...
  19. DR Mambo Jambo

    Kipi kinafanya Rasimu ya katiba ya warioba ikose uhalali kwa Serikali na CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani kuipigia kelele kuhalalishwa?

    Kila siku huwa naipitia Rasimu hii nikijiuliza hasa ni kitu gani kinafanya inakosa Uthamani mbele ya Watawala na wapinzani au Ni neno Tanganyika lililosheheni kwenye katiba hiyo? Au Ni serikali Tatu zilizopo kwenye sura ya Sita na Saba ya katiba hiyo na Ibara ya 60 na kuendelea ya katiba...
Back
Top Bottom