Wilaya ya Bunda Ina halmashauri kuu mbili, halmashauri ya wilaya na ile halmashauri ya mji wa Bunda. Wilaya hii Ina majimbo matatu ya uchaguzi; Bunda mjini, Mwibara na Bunda vijijni..
KISIASA
Wilaya ya Bunda inatawaliwa zaidi na siasa za vyama viwili, CCM na Chadema. Japo tangu Sintofahamu ya...