uhalifu dereva wa makonda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Mwenye taarifa kamili za msaidizi tapeli wa Makonda atusaidie. Je, baada ya kubainika alichukuliwa hatua?

    RC Arusha amedai Dreva wake alikuwa akitumia gari la RC kutapeli watu apewe pesa. Lakini hakuna Sehemu alimtaja kwa jina na wala sijawahi kusikia muhusika akifikishwa mahakamani. Waliotapeliwa nao pia wameendelea kukaa kimya maana yake walikubali kutapeliwa au na wao walikuwa Chawa wasioweza...
  2. MGOGOHALISI

    Dereva aliyetajwa na Makonda kufanya uhalifu afikishwe kwenye vyombo vya sheria

    Nimeona clip ikisambaa mitandaoni inayomwonyesha aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Paul Makonda akimtuhumu mmoja wa aliyewahi kuwa msaidizi wake kuwa alikua akichukua gari na kwenda kupora kwenye biashara za watu. Kwa kuwa uporaji ni jinai na jinai haifi ni wakati muafaka...
Back
Top Bottom